Katika miaka 65 ya utawal wake sifa na majivuno ya CCM haikupaswa kuwa kumiliki dola na majeshi yake na kuwapakiza wanachama wake masikini kwenye mabasi kuhudhuria mikutano ya chama chao.
Katika miaka 65 ya kuwepo madarakani wastani wa kipato cha Watanzania ni duni sana kwa wastani wa $1,300...
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio?.... nina umri wa miaka 40 nimeowa na nina watoto watatu wa kwanza kamaliza shahada ya udaktari kcmc...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki.
Akizungumza kwenye...
Kila mtu ana ndoto ya kumiliki jabo fulani kwenye maisha yake, wengine tuna ndoto ya kumiliki vyombo vya moto kama magari lakini ndoto bado zinagoma tunaishia kumiliki tu majiko ya mkaa.
Wewe ndoto yako imefikia wapi au ushatoa mwanangu
Kwangu huu wimbo zilipendwa unazungumzia muabudu pesa
https://youtu.be/l8O6jFXXV_Y?si=d3VXfZomiiMX7azj
mmiliki pesa anadumisha utu kuuweka mbele, huyu ndo atasaidia hata ndugu na rafiki zake
muabudu pesa ataua ndugu kupata pesa, atafukuza ndugu badala ya kusaidia
Akihutubu kwenye msikiti wa Kichangani. Sheikh Walid ameshangaa inakuwaje sheikh anaingia msikitini na Bastola
👇
Hapa Sheikh Walid anashangaa inakuwaje sheikh anakuwa na bodyguard na Bastola.
Lakini hapa chini Al Had Mussa akajibu kuwa sheikh kumiliki Bastola ni Sunnah
👇
Kwa maoni yako yupi...
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na sio kumpandisha kiburi cha dharau hadi kukataa kufua boxa za mumewe. Iko siku atakataa tendo la...
hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari.
Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa.
Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
Rais wa marekani ameendelea kuishangaza dunia baada ya kuendelea kutoa kauli zinazowashangaza waisraeli na baadhi ya waungaji mkono wa vita ya marekani/Israel na Iran.
Leo amesema Iran Ina Haki ya kuwa na makombora ya ballistic lakini pia Frozen asset ni fedha zao inabidi wapewe.
Ameeleza kuwa...
Habari,
Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea.
Je Kuna...
Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali.
Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania.
Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili.
Ikiwa mimi...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
duka
duka la dawa
kuhusu
kumiliki
muhimu
uhalali
Zamani nilikuwa najua ukiajiriwa basi tayari unakuwa umetoboa kimaisha. Nikawa nikikutana na mtu ameajiriwa tena serikalini halafu anatembea kwa miguu basi namuona hayupo serious na maisha.
Wakati nipo chuo, nikajiapiza eti nikiajiriwa tu nitaanza na gari tena kali kisha nyumba. Lakini hadi...
Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy
Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia.
Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.