Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea.
Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena.
China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji kutoka China wanaopanga kujenga kiwanda cha kutengeneza nondo. Hata hivyo, kinachotutia wasiwasi ni bei...
Anonymous
Thread
bei ndogo
mbezi
mkuranga
wachina
wilaya ya mkuranga
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.
Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.
Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".
Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu...
Nimeona tunawachekea Wachina mno wanaingia TZ vibaya mno tena wapo wengi, Iko sio jambo la kushangaza mno, jambo la kushangaza je mamlaka zetu zinafahamu hata Chinese people ni wangapi hapa TZ? je wanafahamu kwamba wapo wachina wanafuga Bata na kuku? Je wanafahamu wapo wana maduka mtaani maduka...
waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala.
Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Inakuwaje Idara ya Uhamiaji haichukui hatua za kutosha katika suala hili? Ninauliza kwa sababu mahali ninapofanya kazi kuna raia wengi wa China, lakini kila mara maafisa wa uhamiaji wanapokuja kufanya ukaguzi, wao huondoka mapema kana kwamba wanapata taarifa kabla.
Pia, inakuwaje baadhi yao...
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na...
Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana.
Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
Habari wakuu,
Kwa kasi ya wachina kujenga na kununua apartment baada ya miaka saba sehemu hizi hazitakuwa sehemu ya Tanzania, mbaya zaidi sasa wameanza kujaza makontena,
Kwa sasa ile hadhi ya hizi sehemu mbili haina maana tena. Tunakoelekea pameanza kuwa kama Manzese tu
Soma Pia: Video: Ni...
Wafanyakazi wazawa wanaofanya kazi katika Kampuni ya TBEA inayotekeleza miradi ya TAWA za uvutaji, usambazaji umeme mkubwa kuanzia kipande cha Chalinze, Magubike kuelekea Dodoma, wamemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba kuingilia kati madai ya unyanyasaji wa...
Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Deng Qiang, wanaotuhumiwa kumteka nyara mwenzao, wameshindwa kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Kinyerezi jijini Dar es Salaam kutokana na kukosekana kwa mkalimani.
Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani kwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu na kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 14 Mei, 2026 majira ya saa 04:30 usiku Polisi walipokea taarifa kuwa katika majengo pacha ya 'PSSSF Mtaa wa Mission Ilala Dar...
Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili wawaachie huru.
Watuhumiwa wanne wamekamatwa.
Polisi wamewataja watuhumiwa kwamba ni
1. Deng Anqing...
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo...
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa
Serikali za Africa hazina hata mpango
Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu.
Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania
Africans tutabaki kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.