girl

  1. S

    The Girl Manuscript

    Growing up, I was told that a girl is like a white sheet. A small dot on the sheet is no longer considered beautiful. I was told to abstain from boys throughout my adolescence. You grow up being told that you need to be tough, strong, endure pain, and be patient. How can you raise a family if...
  2. hermanthegreat

    Never date a girl who can't respect your wife

    Wakuu nawakumbusha tu, usidate girl ambaye hana heshima kwa mke wako. Naomba kuwasilisha
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    The 15-year-old Missouri girl who was beaten unconscious has severe brain damage and a skull fracture

    Kaylee was left convulsing after she got her head beaten on the pavement outside of Hazelwood East High School. Kaylee has not woken up yet and has swelling, major brain bleeding, frontal lobe damage and a fractured skull. “Kaylee is fighting hard to stay alive and heal but this is only the...
  4. F

    Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
  5. FRANCIS DA DON

    Beautiful Girl on a horse

    Very creative idea
  6. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  7. Patandi

    House girl wangu anatumia vidonge vya HIV

    Amani iwe kwenu nyote. Nimegundua kuwa house girl wangu anae nilelea mtoto wangu mchanga anakunywa vidonge vya HIV kwa siri. Je hawezi kuwa amemwambukiza mwanangu? Kama jibu ni hapana, mwanangu atakuwa salama kweli au niachane naye msichana huyu? Naomba ushauri wenu.
  8. S

    Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  9. Boss la DP World

    Ulianzaje mahusiano na house girl wako?

    Alikuwa anajipenda sana, toto la singida, jeupeee. Ilikuwa hivi, nilikuwa nammezea mate sana ila sikuwahi kumtongoza. Sikumoja akaweka simu yake kwenye flight mode bila kujua kwahiyo akawa hawezi kupiga simu wala kutuma sms. Akaniletea nimrekebishie yeye akaenda kuendelea na mambo yake...
  10. JanguKamaJangu

    Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  11. Dr am 4 real PhD

    100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

    100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar...
  12. BARD AI

    House girl ataka kutorosha mtoto ili kulipa kisasi kwa mwajiri wake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto ambaye jina lake limehifadhiwa (10) anayedaiwa kukamatwa na wasamaria wema katika stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza katika harakati za kutoroka na mtoto wa mwajiri wake kwenda mkoani Mbeya. Taarifa ya mtoto huyo...
  13. Etugrul Bey

    Mahouse girl na Mambo Yao!

    Ilikuwa ni Secondary na ni Shule ya Jeshi ambayo ni maarufu Sana hapa dar es salaam,na Kwa gwaride tulilokuwa tunakula pale unakuwa kama nusu Mwanajeshi hivi,na ndio maana huwezi kuwakuta watoto wa mama wanasoma pale,kama wewe ni mtoto wa mama lazima utaomba uhamishwe pale. Kwanza ukifika Tu...
  14. mcshonde

    House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  15. N

    Nahitaji mpenzi

    Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani. Nahitaji mpenzi Ambaye: 1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33 2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi. 3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test...
  16. Mdau jf

    Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
Back
Top Bottom