kupora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Jerry Slaa: Nilishirikiana na Msama kupora eneo la shule ili amilikishwe mjane wa kigogo

    Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa kumsaidia mjane wa kigogo mmoja kulinunua eneo la shule ya sekondari. Slaa aliitenda jinai hii...
  2. TODAYS

    Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!. Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
  3. Jackal

    Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  4. B

    TBT: Mwaka 2014 TEC na Jukwaa la Kikristo Tanzania liloagiza kusitishwa Bunge la Katiba baada ya ccm kupora mchakato mzima.

    Mwaka 2014 Jukwa la TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na La Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona ccm imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi. Rais Kikwete akatumia busaea za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa...
  5. S

    Sakata la Mpina kupora mashamba limeishia wapi?

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Sanga aliitisha mkutano na kutangaza kuunda tume ndani ya siku 14 kuchunguza madai ya Mpina kupora mashamba ya wananchi Morogoro. Swali langu ni moja tu siku 14 hazijafika? kwanini matokeo ya tume ya DC Morogoro hajaweka hadharani matokeo ya tume yake.
  6. M

    Msichana anayepora kwa kutumia dawa

    Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka. Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana...
  7. Wadiz

    Nimekuwa addicted na tabia ya kupora wapenzi wa watu sehemu za starehe

    Wasalaam, Nimepata mfadhaiko siku za hivi karibuni, mademu za watu wanapigana na kuwaacha wapenzi wao kisa Mimi, na pisi Kali kiasi kwamba ni ngumu kukataa, wanalipa mpaka bill zilizogharimiwa na hao wapenzi wao ili kuondoa utumwa. Huwa natoa maagizo tu kuwa ukishavuruga utanikuta sehemu...
  8. BARD AI

    Njombe: Majambazi wateka Magari na kupora fedha, simu

    Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wamevamia magari zaidi ya saba (7) ikiwemo magari ya mizigo pamoja na basi la abiria katika eneo la Nyaliva katikati ya kijiji cha Nyombo na Kidegembye barabara ya Njombe - Lupembe Halmashauri ya Wilaya ya Njombe wakidaiwa kupora fedha na simu za Abiria...
  9. JanguKamaJangu

    Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  10. BARD AI

    Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
  11. BARD AI

    Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  12. Sildenafil Citrate

    Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  13. U

    Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga. Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi. Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
  14. mchuku wa mangi

    Nani anawalinda waliovamia na kupora Meku’s bar?

    APRI 29 mwaka 2019 tukio kubwa na aina yake lilitokea mjini moshi baada yakundi kubwa la watu wakiwa na silaha za moto kuvamia na kupora mali kwenye mgahawa maarufu wa Meku’s Bristol Bar and Restaurant . Wavamizi hawa ambao walikuwa na kila aina ua jeuri baada ya uvamizi huo waliondoka na mali...
  15. M

    Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  16. JanguKamaJangu

    Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  17. BigTall

    DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  18. Idugunde

    Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

    Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
  19. K

    Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

    Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka. Baada ya clip ile kusambaa na watu kupiga kelele Takukuru na Polisi waliibuka na kudai...
Back
Top Bottom