Tetesi zinaelekeza Salim Kikeke anaendelea kutajwa kumng'oa Ayub Rioba alijizindika pale TBC. Hii ni baada ya chombo hiki cha Wananchi kushindwa mambo mengi na kufuja fedha za umma huku Watumishi wake wengi wakijianzishia makampuni shindani na TBC. Ukichukua TIN za Watumishi utashangaa wao ndio...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024
https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0
Endelea kufuatilia kitakachoendelea...
Zuhura Yunus:
Rais Samia...
Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 12 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/dTZZ4o97U3A?si=HNAVFRFRzHn0H5y5
Akizungumza kwenye Mkutano na waandishi wa Habari ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Waziri...
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
Kwa anaye kielewa anijuze. Wakenya wanaharibu sana lugha yetu. Kurasa za mitandao ya kijamii ya bbc imegubikwa na Kishwahili kibaya sana(kisicho fasaha). Ili nalo likatazamwe!
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
Rais Samia akiwa katika Sherehe za Siku ya Wafanyakazi mkoani Morogoro amebainisha kuwa nyongeza za mishahara za mwaka ambazo kwa muda mrefu zilikuwa zimesitishwa, zimerudishwa mwaka huu
Amesema “Wafanyakazi wote mwaka huu, mbali na Kupanda Madaraja, na mambo mengine, kuna nyongeza za mishahara...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia.
Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule.
Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu...
Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini alikuta majalada yanayomtaka aidhinishe fedha za magari na samani nyingine za ofisi kwa kigezo kwamba...
Na Bwanku M Bwanku.
Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
Na Bwanku Bwanku.
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, anawasili leo Tanzania kuanza ziara ya kihistoria ya siku tatu (Machi 29-31, 2023).
Ujio wa kiongozi huyo mkubwa wa Marekani nchini ni ishara ya mafanikio makubwa ya mageuzi ya diplomasia ya uchumi na ushirikiano wa kimataifa...
Naona Itifaki imezingatiwa.
VP Kwa VP.
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam.
Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
Na Bwanku Bwanku.
Wakati huu, Makamu wa Rais wa Marekani Bi. Kamala Harris akitarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania siku ya kesho Jumatano Machi 29, 2023, historia ya mahusiano ya Nchi hizi mbili ni ya kusisimua sana ikianza mwaka 1961, miaka 62 iliyopita.
Ni ziara ya kimkakati ya...
Rais Samia awezesha ndege mpya ya mizigo kutua Aprili.
Na Bwanku Bwanku.
Ndege mpya ya mizigo iliyoagizwa na Serikali ya Tanzania kutoka nchini Marekani inatarajiwa kupokewa nchini mwezi Aprili mwaka huu ili ianze mara moja kuendelea kufungua uchumi wa Taifa kupitia usafarishaji wa mizigo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa Block Farming katika Programu ya Building Better Tomorrow (BBT) eneo la Chinangali, mkoani Dodoma leo tarehe 20 Machi, 2023.
RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe...
Bwanku M Bwanku.
Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu.
Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.