australia

 1. M

  China promises to take a revenge on Australia as 62 Countries joins Corona Virus Enquiry

  A COALITION of 62 countries are now supporting Australia's call for an independent probe to investigate the causes of the coronavirus pandemic that started in Wuhan, China. But, Australian Prime Minister Scott Morrison has felt the wrath of Beijing, after China threatened to decimate his...
 2. Analogia Malenga

  AUSTRALIA: Watu 600,000 Wamepoteza ajira kutokana na janga la Corona

  Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini nchi inapaswa kujiandaa kwa ugumu wa uchumi watakao kumbana nao Chuo Kikuu cha Johns Hopsins...
 3. S

  Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

  Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
 4. FRANC THE GREAT

  Afariki dunia katika shindano la kula keki

  Mwanamke mmoja nchini Australia amefariki dunia baada ya kushiriki shindano la kula keki katika siku maalumu ya Australia (Australia Day) mjini Queensland. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 60 alikabwa kooni na kupoteza fahamu wakati akiwa katika harakati za kushindana katika shindano hilo...
 5. S

  Moto wa nyika Australia: Wamarekani watatu wafariki dunia katika ajali ya ndege wakiwa katika harakati za kuzima moto

  Ndege inayotoa msaada kwa kuzima moto kwa kutumia maji dhidi ya moto wa nyika Januari 10, 2020 huko Penrose, New South Wales, Australia. Ndege iliyokuwa ikitoa msaada wa kuzima moto kwa kutumia maji kwa minajili ya kukabiliana na...
 6. Sky Eclat

  Joe Kangaroo aliokolewa katika moto huko Australia

  Joe ana majeraha machache lakini amepoteza wazazi wote wawili. Sasa hivi amelazwa kwa ni mgonjwa wa kulazwa kwa daktari wa wanyama.
 7. Analogia Malenga

  Australia yazidi kuumia kwa moto

  Ni kawaida kwa Australia kupata majanga ya moto, kwa kile kipindi ambacho kinafahamika kwa jina la fire season, Msimu wa moto. Lakini mwaka huu msimu huu wa moto ni mbaya kuliko yote, hali inayofanya kuvunja rekodi. Kwa hivi sasa Australia inapambana na msimu mgumu wa moto, unaosababishwa na...
 8. S

  Australia endures hottest day on record

  Australia has experienced its hottest day on record with the national average temperature reaching a high of 40.9C (105.6F), meteorologists say. The Bureau of Meteorology said "extensive" heat on Tuesday tipped the mercury past the previous record of 40.3C set on 7 January 2013. Taking the...
 9. Gily

  Muswada unajadiliwa Australia, kosa kisheria kumlaghai mtu kwa kusudi la kushiriki nae kimapenzi

  Ikiripotiwa kwenye blog ya daily “If the proposal was to become law, telling someone you love them when you don’t, pretending to be rich and well connected when you are not, claiming educational achievements that you don’t possess, denying a complex sexual history – say, with same sex partners –...
 10. FRANC THE GREAT

  Ndege ya Australia yakamilisha safari ndefu kutoka New York hadi Sydney bila kusimama

  Shirika la ndege la nchini Australia, Qantas limefanya safari ya majaribio ya ndege za kibiashara moja kwa moja kutoka New York, Marekani hadi Sydney nchini Australia ikiwa ni majaribio ya huduma itakayokuwa ya safari ndefu zaidi ya ndege za kibiashara Duniani. Safari hiyo iliyohusisha ndege...
 11. Dive

  Julian Assange na MK ultra project a documentary

  Documentary kuhusiana na Julian Assange Muastralia aliyeanzisha Wikileaks www.wikileaks.org HIS HISTORY Julian Paul Assange (born Julian Paul Hawkins; 3 July 1971) is an Australian journalist, computer programmer, and the founder and director of Wikileaks. Assange describes himself as an...
Top Bottom