Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.

Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.

Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.

Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.

Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.

Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.

Shukrani 🙏

Tukutane kwenye comments

Wadiz
 
Acha mawazo uchawara...

BBC sio shirika la zuhura Yunusi au Salim Kikeke... Wao ni wasomaji habari tu, wanaletewa habari ambayo tayari imashahaririwa, yeye ni kusoma tu.

Sasa unataka kuwapa lawama, wakati wao wameajiriwa tu, na habari wameletewa tu.

Laumu Shirika na si mtu husika
 
Acha ujinga sibahatishi kuhusu hili Zuhura Yunus na Salim Kikeke walishahojiwa sana na wakaongea ushuzi mtupu, my friend don't joke nenda YouTube records zipo. Hao hawafai kuwa sehemu ya Serikali ya taifa hili tena chini ya utawaywa CCM
 
Narudia tena Salim Kikeke na Zuhura Yunusi ni wafanyakazi tu wa BBC, kazi zote wanatumwa na Boss zao... hata ungekuwa wewe hapo upo BBC ungefanya hayo hayo.

Wewe unaleta chuki binafsi badala ya kuchukia shirika. Hata leo Wasipokuwepo hao, bado BBC wataendelea kufanya wanayoyafanya
 
Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira za taifa na Viongozi wetu hata awamu ya Mstaafu Rais Kikwete ndimi zao wakiwa BBC Swahili London.

Sioni sababu yoyote ya msingi ya kumjadili na kuwaza kuhusu haki ya fursa ya uteuzi kwa nafasi yoyote kwa Salim Kikeke.

Hata Zuhura Yunus ni aibu kuwa pale alipo kwa sasa, hana sifa ya kuonekana state house/ikulu, tangu Zuhura Yunus ateuliwe kwenye Ile nafasi alichokuwa akisingizia kwa kutuchafua ati kukosekana kwa taarifa toka kwa viongozi na serikali ndio kulifanya wao waiseme Tanzania vibaya.

Salimu Kikeke mna mjadili kama nani, kuna mtu mfano Pascal Mayala ana uwezo mkubwa kwenye tasnia ya habari kuwazid hao wote waandishi wasaliti wa Taifa.

Kikeke potential yake Iko huko TikTok na uteuzi wa Kikeke popote pale utakuwa ni najisi kwa taifa la Tanzania.

Watanzania tuache upumbavu wa kuwa wasahaulifu kwenye mambo ya msingi.

Shukrani

Tukutane kwenye comments

Wadiz

Nilikua naona unajiweza upstairs kumbe kiazi mtupu.BBC sio sawa na TBC,huko hadi Putin habari zake zinaandikwa bil kuhaririwa hata kidogo.
 
Watanzania tunapambàna na adui àmbaye siye wakati adui halisi yupo.
Inaelekea hatumjui adui yetu halisi
 
Naona unampalilia Pascal Mayalla apate uteuzi! Zuhura YUnus ni raia wa kuzaliwa wa UIngereza ,kuwapo kwake hapo IKULU ni kwasababu ana asili ya Zenj anakotoka mama Abdul!!! Appointment za uswahiba hizi.
 
Nilikua naona unajiweza upstairs kumbe kiazi mtupu.BBC sio sawa na TBC,huko hadi Putin habari zake zinaandikwa bil kuhaririwa hata kidogo.
Stereotype mkogo hivyo hamna akili Wala vifua, so you ranked me above you earlier on? Uko narrow minded, subscription to ideas, opinion etc have never existed with uniformity. Una kichwa chepesi kwenye fikra.

I don't need to impress you to fit your praises, diversity has always been and shall always be healthy.

In fact opinionated divergent ndio kipimo watu wazito na wepesi.

Not every content is critical at any moment in time.
 
Naona unampalilia Pascal Mayalla apate uteuzi! Zuhura YUnus ni raia wa kuzaliwa wa UIngereza ,kuwapo kwake hapo IKULU ni kwasababu ana asili ya Zenj anakotoka mama Abdul!!! Appointment za uswahiba hizi.
Nimemtaja Mayala kuweka walau hata comparison, hao viumbe hawafai
 
Hata makamu wa Rais wa Marekani anamkosoa Rais Biden,huu ufala wako mwingi upo Afrika...

Bara lenye vilaza wengi ..
 
Stereotype mkogo hivyo hamna akili Wala vifua, so you ranked me above you earlier on? Uko narrow minded, subscription to ideas, opinion etc have never existed with uniformity. Una kichwa chepesi kwenye fikra.

I don't need to impress you to fit your praises, diversity has always been and shall always be healthy.

In fact opinionated divergent ndio kipimo watu wazito na wepesi.

Not every content is critical at any moment in time.

Sijui umetoa wapi hiyo takataka uliyiandika hapo,kukuambia hauko vizuri upstairs umekuja na kingereza cha kumbumba kwenye Quote.

Sikukosea kukurank hivyo nakazia BBC so TBC
 
Back
Top Bottom