kiswahili

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi wakenya walianzisha na kupigia upatu sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili au kutaka kukiua?

    Mara nyingi, nasoma maneno kama mzae au mzazi, ngori, na mengine mengi humu Jf. Huwa siachi kushangaa na kujiuliza. Je, wakenya wameunda sheng lao kutokana na kutojua Kiswahili, kukidharau, au kutaka kukiua na kuzalisha kipya? Najua japo si wote, wakenya wanaabudia sana kimombo. Mbona sasa...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni "Text To Voice" ipi ina kiswahili safi kilichonyooka?

    Nimejaribu text to sound tofauti tofauti ila nakutana na lafudhi za ajabu,hata kama wamekuandikia "Tanzanian Kiswahili". Kama kuna Mtu anafahamu yenye kiswahili safi anisaidie.
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Idhaa ya Kiswahili ya BBC: Siku ya Utumwa Duniani

    https://youtu.be/uJHUL5SNwTI?si=4eeP81xOZA-8DmxN
  5. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri maandishi na video ya kiingereza kwenda lugha ya kiswahili kwa bei nafuu

    NAtafsiri maandishi na video za youtube kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili kuwa katika mfumo wa PDF kwa bei ya kurasa moja 10,000 TZS , WASILIANA NAMBA 0756704145 (WhatsApp)
  6. mngony

    JamiiForums Tanzania Katibu mpya wa Fedha wa CCM ni Mtanzania halisi? Mbona anaonekana kuzungumza kiswahili kwa tabu

    Nimemsikiliza akiwa katika mkutano wa hadhara wakipokelewa viongozi hao wapya na wanachama wao jijini Dodoma, baada ya kuteuliwa hivi karibuni. Katika mkutano huo alipata nafasi ya kuongea na kuwashambuli viongozi wa vyama vya Upinzani. Hapo ndipo nilipogundua anazungumza kiswahili kama vile...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya Kiswahili naomba mnisaidie katika hili 👇.

    Mtu fulani alisikika akisema, "hebu naomba namba zako za simu", mwingine akasikika akisema, "nipe namba yako ya simu". Hivi, ni namba za simu au namba ya simu? Cc macho_mdiliko, min -me .
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili

    Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo tulichangamana nazo toka enzi hizo eg jamii za wahindi? Na ilikuwaje tukachukua misamiati ya Kiarabu...
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu salamu za kiswahili

    Niache blah blah nyingi twende moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Katika kiswahili kuna maneno au viambishi ambavyo vinaashiria kukubali au kukanusha unachodhamiria kusema. Sasa katika salamu ya Hujambo tumezoea kuitikia Sijambo, ambayo ni kukanusha. Mwenye ufafanuzi wa hii salamu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu: Ushiriki wa mataifa 16 waonesha kukua kwa hadhi ya Kiswahili duniani

    BALOZI YAKUBU: USHIRIKI WA MATAIFA 16 WAONESHA KUKUA KWA HADHI YA KISWAHILI DUNIANI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Daudi Yakubu, amesema ushiriki wa mataifa 16 katika Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili unaonesha kuongezeka kwa hadhi na umuhimu wa lugha ya...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Haya maneno mawili ni Kiswahili kilichopotoshwa na GenZ

    Yatumie kwa tahadhari kubwa Tutaco Gutaco
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  13. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kiswahili: Kiswahili chajenga daraja la mawasiliano baina ya China na Afrika

    Kila ifikapo Julai 7 ya kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, ikiienzi mojawapo ya lugha zenye ushawishi mkubwa na zinazozungumzwa zaidi barani Afrika. Siku hii mbali na kusherehekea utamaduni wa Kiswahili, pia inaangalia umuhimu unaoongezeka wa Kiswahili katika...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aenda Kuandamana Paris Ufaransa kisa Kiswahili huku Tanzania Maandamano ya KATIBA MPYA yakipigwa Marufuku

    Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana. Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Ughaibuni

    https://www.youtube.com/shorts/TXRt5JMoY7w https://www.youtube.com/watch?v=28MgGdE0RPY
  17. V

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  19. Jeremia Mhanuzi

    JamiiForums Tanzania Tungo nzuri za fasihi ya Kiswahili

    MAHABA YASIYOKOMA. Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili. Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu Kurani Tukufu (Soma na Usikilize): Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo. Mwelekeo Sahihi wa Qibla: Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
Back
Top Bottom