report

A report is a document that presents information in an organized format for a specific audience and purpose. Although summaries of reports may be delivered orally, complete reports are almost always in the form of written documents.

View More On Wikipedia.org
  1. The Khoisan

    Kwa nini Tume imejikita kutetea report ambayo hatujaiona na huenda hatutakuja kuone kamwe...!!?

    Nimefuatilia mazungumzo ya tume. Naona wako busy kujitetea badala ya kutufafanulia na kuthibitisha ushahidi kwa kile kilichotokea..!?
  2. passioner255

    Hongereni watanzania kwa kuikataa hii report ya feki ya tume ya Samia

    Nawapongeza watanzania kwa kuikataa report feki ya tume ya Samuya.Nimeona mapokeo katika mitandao mbalimbali,ukiacha maraboti wengi wamekataa. Tumeonesha kwamba taifa haiwezi kuponeshwa kwa uongo.tumekataa Uongo. Na msijali kwa sababu huwa mshahara wa dhambi ni mauti...
  3. PLOII

    Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  4. The Burning Spear

    Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
  5. passioner255

    Tunafanya makosa badala ya kuongelea kiini cha matatizo yote report inamsafisha muuaji samuya.

    Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
  6. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
  7. britanicca

    Utabiri wangu kuhusu Report ya Chande kuhusu 29/10/2025 ✍🏻

    CHADEMA imeguswa na viongozi wake ! Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji, Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote...
  8. instinct desire

    Hivi ni kweli mwabukusi hajui mchakato wa report ya CAG kwa Mujibu wa katiba? Hii ni aibu

    Nashangaa kuona mtu amesoma Sheria lakini bado hajui mchakato wa report ya CAG kikatiba upoje? Yani mwanasheria analalamika Leo juu ya taarifa ya CAG wakati ndo kwanza ipo hatua ya kwanza.....naona aibu mno kwa hizi akili
  9. Archival Sense

    Police Report 10.2% Drop in Crime in 2025

    The Uganda Police Force has reported a 10.2 percent drop in reported crime cases in 2025, according to the 2025 Police Crime Report launched by Inspector General of Police Abbas Byakagaba at Police Headquarters in Naguru Police Headquarters. According to the report, a total of 196,405 cases...
  10. M

    Presidential Commission Report on Land Issues in Ngorongoro District

    Date of Presentation: March 12, 2026 Executive Summary This report outlines the findings and recommendations of the Presidential Commission tasked with assessing ongoing land disputes and conservation challenges in the Ngorongoro District. The assessment focused on three primary protected...
  11. M

    The Ngorongoro Relocation Evaluation Report by the Chairman of the Presidential Commission

    This is a summary of a speech by Eng. Musa Iyombe, Chairman of the Presidential Commission evaluating the voluntary relocation of Ngorongoro Conservation Area (NCA) residents to designated areas like Msomera, Kitwai B, and Saunyi. While the government's decision to relocate residents to protect...
  12. Maxence Melo

    Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

    Wakuu, Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha. Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha...
  13. Waziri Mayai Wa Maradhi

    KNCHR Report reveals business activities in Mau Forest infringe on Ogiek Community members rights

    The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) recently released a report that details how local commercial operations marginalize the indigenous community. The "The Voice from the Land" report details the experiences of indigenous populations in 13 counties and emphasizes how government...
  14. stakehigh

    Expiration of US-Russia Agreement Could Trigger Rapid, Dangerous Nuclear Arms Race, New Report Warns

    The impending expiration of the current nuclear arms agreement between the United States and Russia on February 5, 2026, also called New START, would leave the countries without any cap on the number of deployed nuclear weapons each is allowed to have, creating conditions for a fast-moving and...
  15. R

    Who sensible màn will consume so called Judge Chande's 29th October 2025 massacre Investigation report?

    Dunianyote imelalamika kuwa ripoti hiyo haiwezi kuwa independent, neutral and credible. Essence ya investigative ripoti ni kupata ukweli, ukweli usio na mashaka. Sasa consumers wanasema kitakachoandikwa hapo hatutakikubali kwa sabahu hakiko independent. Iko biased, corrupted at the onset and you...
  16. sanalii

    Kwa hali iliopo sasa, hata report ya CAG ni useless and pointless

    Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu. Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia. Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo. Inasikitisha kuona nchi...
  17. Mjanja M1

    Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

    Haya ndio madhara ya kuhalalisha mambo ambayo sio halali.
  18. Jidu La Mabambasi

    Very disturbing: Report ya ICC-Vikosi vya KMKM viliingizwa nchini kuua!

    RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79. Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na...
  19. useyourcommonsensetothink

    PostGE2025 Mlio karibu na hawa wakuu wambie wasijejinganya kutaka kuficha ukweli juu ya report ya CNN

    Mlio karibu na hawa vilaza, waambie wasijejichanga kwenda kuficha ushahidi, waalivyovilaza wataendelea kuficha upuzi wao. They are being monitored.
  20. Rungwe88

    PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

    Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani. Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina...
Back
Top Bottom