wahariri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini Wahariri wa Magazeti ya Leo wametoa Taarifa ya Ruzuku ya CHADEMA kwa Kuwasuta na Kuwashushia?

    Media ya Tanzania endeleeni tu Kutumika na State kwa Zawadi za Vyeo vya Kiuteuzi, ila ipo Siku mtakuja kujua kuwa mlikuwa mnatumika kama Condom ambayo ikishamaliza Kutumika huwa inatupwa. Hamna Akili na ndiyo NINAOWADHARAU hakuna mfano. Mko very Unprofessional Wapuuzi wakubwa nyie. Mmenikera sana.
  3. Pascal Mayalla

    Lindi: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF

    Wanabodi Live on TBC: Mkutano wa 7 wa Jukwaa la Wahariri TEF, Lindi. https://www.youtube.com/live/fYB_7KkRpdg?si=ulkYTnJyPEdun8YL Karibu. Paskali
  4. B

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Mkutano na Wahariri kuhusu Mkutano mkubwa wa Mifumo ya Chakula Afrika

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus leo Jumapili Septemba 03, 2023 kuanzia Saa 4 asubuhi hii anakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari ili kuzungumzia Mkutano mkubwa wa Kimataifa unaohusu mifumo ya chakula Afrika, mkutano unaoanza keshokutwa Jumanne Septemba 05, 2023 katika...
  5. D

    Wahariri wa magazeti wapigwa na kitu kizito vichwani kuhusu DP World

    Ndugu zangu, Sasa ni dhahiri kuwa sakata la 'Port Selling" inachukua mkondo mpya. Kauli ya kibabe na kiburi ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu ubavu na misuli imeanza kutafsiriwa na "ofisi nyeti" kwa vitendo. Kutoka kuwa mjadala Sasa sakata hili linaanza kuelekezwa kwenye mkono wa chuma. Ni...
  6. benzemah

    Jukwaa la Wahariri (TEF): Uhuru wa Vyombo vya Habari Umeongezeka Nchini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amesema uhuru wa vyombo vya habari umeongezeka nchini hivyo ni jukumu la waandishi wa habari kuwaibika na kuzingatia sheria zilizopo. Balile amesema wanahabari hawapaswi kuchafua taaluma yao kwa kutofanya kazi kwa weledi au kutumia vibaya uhuru...
  7. Mpinzire

    Ni Kweli tumekosa Wahariri wakutuonesha ata mapungufu ya wazi katika IGA ya Tanzania na DP World?

    Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini? Tumepewa...
  8. Roving Journalist

    #COVID19 Jukwaa la Wahariri lawapa Tuzo Waandishi wa Habari za Watoto na walioripoti UVIKO-19

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni. Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo kwa Waandishi wa habari za Watoto, pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amesema...
  9. gimmy's

    Makamu wa Rais Mpango, mvua zinazonyesha zisije kuwasahaulisha utekelezaji wa makubaliano na Wahariri ili kusalimisha uharibifu kwenye Mto Ruaha Mkuu

    Saalamu, Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa. Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh mpango taarifa za kiuchunguzi juu ya chanzo cha mto ruaha mkuu kukauka kwani mpaka siku wanafanya kile...
  10. saidoo25

    Kwanini Wahariri hamkutoa tamko la shambulio alilofanya Mzee Makamba kwa Mwandishi?

    Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma. Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
  11. mwananyaso

    Mahojiano ya Mkurugenzi Mkuu TANESCO ni usanii mtupu

    Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli. Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa. Mkurugenzi hilo la kigoma...
  12. M

    Ndani ya CCM kunani? Kwanini gazeti la Uhuru na wahariri kujitoa muhanga kwa lolote?

    Sitaki kuchangia sana. Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema? Hata...
  13. P

    Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

    Mjitafakari sana kwanini watu Waite TBCCCM huku ni chombo cha Taifa. Muwe na chembe ya aibu kubalance story ili walaji wafikiwe na ujumbe wa kitaifa. Chakateni taarifa kabla ya walaji, iweje walaji waanze kuchakata news baada ya kurusha huku mna wataalamu ndani ya vyombo vyenu. Aibu kubwa sana
  14. Analogia Malenga

    Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

    Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...
  15. Yericko Nyerere

    Huu ni Usaliti kwa Taifa, Wahariri jitazamemi mara mbili

    Hivi kweli wahariri zaidi ya 50 mliohudhuria mkutano wa Rais Samia suluhu Hassan mmeshindwa kuuliza maswali mazito yanayotesa taifa kwa miaka mitano mizima ambayo mwenye majibu ni Rais wa Nchi ya Tanzania? Mfano hata hili la kikatiba juu ya Wabunge waliopo bungeni bila kuwa na chama cha siasa...
  16. J

    Jukwaa la Wahariri ni sawa na Bunge au Mahakama?

    Kitendo cha Balile kulifananisha Jukwaa la Wahariri na Bunge au Mahakama linafikirisha sana. Yaani kweli Bunge tukufu ndio la kufananishwa na Jukwaa la Wahariri? Yaani kwa sababu bunge linapewa fedha na serikali za kujiendesha? Kwamba kwa sababu bunge halina vyanzo vyake vya mapato basi nao...
  17. P

    Wahariri wa Vyombo vya Habari mmetuangusha sana

    Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu. Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC kwaniaba ya wahariri. Mhariri umetoka mkoani unamuuliza Rais anauonaje Urais (mwandishi kweli)...
  18. Analogia Malenga

    Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021 Updates: Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la Wahariri Tangu ulivyoingia madarakani hakuna redio iliyofungiwa, gazeti lililofungiwa, mtandao au...
  19. Kinoamiguu

    Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  20. baro

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
Back
Top Bottom