Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya habari (mainstream media). Hata hivyo, hali ya uhuru wa kutoa maoni na usalama wa wale wanaotafuta...
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wameacha misingi
Vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari tumeacha misingi... Kwa nini...
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari
Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni...
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Absalom Kibanda, akizungumza katika mdahalo wa “Kalamu za Waandishi Zinaandika Nini?” kupitia Stars TV, amesema kuwa ikiwa utawala wa sheria utazingatiwa, vyombo vya habari vitakuwa huru.
Soma Pia: Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari
Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi.
Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi.
Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
Ikulu ya Marekani imezindua kituo cha matangazo ya kidijitali cha saa 24 kinachoitwa “Trump TV: The Essentials Station" huku mvutano kati ya utawala wa Rais Donald Trump na baadhi ya mashirika makubwa ya habari nchini humo ukizidi.
Kwa mujibu wa Ikulu, jukwaa hilo litaangazia video muhimu...
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo...
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma.
Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
Kesho saa sita mchana nitakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika Hotel ya Golden Tulip.
Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.
Karibuni sana. Godbless Lema.
Mwandishi wa habari kutoka Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa urasimu katika upatikanaji wa kibali na ukomo wa uhuru wa kihariri ndivyo vitu vinavyovizuia vyombo vya habari vya serikali na kurasa za taasisi zake kuripoti kwa haraka matukio makubwa nchini, yakiwemo ya utekaji na mauaji...
Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
Ripoti mpya ya Thomson Reuters Foundation imeonya kuwa Kenya inaweza kukumbwa na vizuizi vya vyombo vya habari na kukatika kwa intaneti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027 ikiwa mwenendo wa sasa utaendelea.
Ripoti hiyo, Weaponising the Law: Threats to Media Freedom in Kenya, inaangazia vitisho vya...
Na Kijana Wa Ifoza
Katika Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini uliofanyika leo, Septemba 8, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, ametoa kauli inayochochea mjadala mzito kuhusu mustakabali wa tasnia ya habari nchini. Meena amedai...
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa chini, amesema Siku ya Uchaguzi oktoba 29, 2025, Serikali ilidhibiti Vyombo habari
"Ukifuatilia taarifa za habari za vyombo vya...
Sisi wakweli na wanazuoni wa iliyokweli huwa hatubabsishwi na matukio.
Inawezekana tuna tukio moja tu la huyu anayesemaekana ana msimamo na wasiojua wanaweza kusema eti ana msimamo kutokana na hilo tukio moja tu.
sisi wenye msimamo tunakuambia tukio hilo halitubabaishi wala kutuondoa kwenye...
Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania?
Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au
Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika?
Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi?
Ukichagua cha...
Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu.
Wizara ya Habari ,TCRA na...
Mtu anaitwa Vyombo vya Habari, anasema, HECHE anakula Hela za TONETONE.
unakuta Mtu huyo, anajikita ni Katibu wa BAVICHA Nanjilinji.
Yaan wewe wa Nanjilinji hukoo maporin, unaanzaje Kufungua Kinywa chako kua HECHE Anakula Pesa??.
Weka makaratasi Mezani !!!.
Tuko na Heche mpaka Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.