Serikali kuleta chanjo ya lazima kwa ajili ya mifugo yote Nchini kama ilivyo kwa Magonjwa ya Binadamu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia.

Serikali kuleta chanjo ya lazima kwa ajili ya mifugo yote Nchini

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega akizungumzia ubora wa mifugo ya Tanzania.​
 
Mkurugenzi wa Kurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus akizungumza na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia.

naona the so called wanahabari wanaulisa the so called maswali, hakuna wa kuuliza swali la maana ni kujikomba tu na mswali ya std One
 
Kila nabii na zama zake kikwete alitembelea ulaya na america kule kwenye jean's na suti full kupigiwa mapicha ya kobe bryant mama kaamua kwenye kanzu na hegali role model wake mwamba chafu kunuka ilikwenda ethiopia,rwanda na uganda kenya akatumwa kabudi ndivyo nchi inavyoendeshwa!
 
Back
Top Bottom