maadui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walioumbwa kushirikiana kwa karibu sasa wamegeuka maadui wakubwa!

    Haiwezekani gari aliunde mwingine halafu wewe ujifanye unajua kuliendesha bila kumuuliza muundaji linaendeshwaje. Nachelewa kusema utasababisha maafa tu. Si ajabu kuona wimbi la 'vita' Kati ya Wanawake na Wanaume likizidi kupamba Moto siku hadi siku kwa sababu wengi wamechagua kuishi kwa...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta Urafiki na Magufuli akiwa Hayati ni wanafiki na maadui namba moja!

    Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli. RiP J.P.M
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ruto kamjibu Samia kwa akili kubwa sana kuhusu maadui wa Afrika Mashariki

    Guys guys Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia. Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini na ajira". Ni dhahiri kabisa kizimkazi hamna kitu kwa kweli
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

    Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili. Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
  5. Life2

    JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa Taifa hili kwa sasa

    Kama hukupoteza ndugu yako 29 Oct mwambie Mungu asante, ile siku kwa kifupi ni siku mbaya ni siku ambayo shetani na majeshi yake walivuna haswa damu za Watanganyika. Endeleeni kupumzika kwa amani makamanda, leo mnazingiziwa kila kitu, mlikua na Bunduki, Mabomu, Vifaru, Air to Air missiles, Land...
  6. Troll JF

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nchi Zenye kutumia Ubabe kulinda Mipaka yake na Maeneo Jirani, hata kama Nchi Jirani haitaki kulindwa italindwa tu

    The Monroe Doctrine sio dhana ya kipekee tu kwa Taifa la Marekani. Kwa wasiofahamu Monroe Doctrine ni sera inayokataza Mataifa ya kigeni hasa ulaya na kwingineko wasipeleke au kusogelea Nchi zozote zilizoko katika mabara ya America kusini na America kaskazini. Na nchi yoyote itakayojaribu...
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Caesar Nero Alikuwa katili sana alimuua mama yake kwa kumcharanga mapanga, mke na akachoma maadui zake ili tu atawale kwa Raha

    Nero Claudius Caesar aliingia madarakani mwaka 54 BK akiwa na umri mdogo sana, takribani miaka 16. Hakuingia kwa bahati mbaya. Mama yake, Agrippina the Younger, alikuwa mwanamke mwenye ushawishi mkubwa ndani ya siasa za Roma na ndiye aliyepanga kila hatua ili mwanawe apate kiti cha ufalme...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Asili ya Mwanadamu ni Mchukia Dhuluma. Serikali Dhulumati Itatengeneza Maadui Wengi Sana Dhidi Yake kwa Kukumbatia Dhuluma

    Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu. Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo maadui zetu vijana

    1. Wazee Raisi kakutana na wazee tu 2.pikipiki Zinaua na kuacha vilema vya maisha 3.polisi Kesi za uhaini pale kisutu sikuona mzee 4.CCM Bunge lote ni la CCM ila wamejaa wazee wote Vijana hao ndo maadui zetu wakuu.
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
  12. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  13. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaopingana na kile kilichosemwa na Father Kitima ndio maadui wakubwa wa Tanganyika

    Wakuu, Watu wote wanaopinga kile kilichosemwa na na Father ni maqdui wakubwa wa nchi wenye nia ya kuficha uchafu wote uliofanywa na serikali. Yaani kwa lugha rahisi unaweza ukasema wanaopinga hoja za Dr. Kitima ni kama wametolewa ubongo na kuingiziwq kimba kumkichwa hata wasielewe kile...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  16. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio maadui wa Tanganyika

    1) viongizi wa dini - bila kujali ukristo Wala uislamu , kwa Tanganyika viongozi wa dini wengi ni mambumbumbu , malofa na takataka kabisa. Haya mkiyaona mahali popote yapigine Hadi kufa 2) Simba na Yanga sc - ni MTanganyika mpuuzi tu, lofa ,masikini na asiye na akili timamu ndie anaweza...
  17. President of China

    JamiiForums Tanzania Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hapo Airport pananipa mashaka, Maadui wanatoroka

    Ukiingia kwenye website ya flightradar, kulionekana ndege yetu , mali ya wananchi (air Tanzania) imeruka mapema asubuhi, lakini hivi sasa Kuna nyingine iko scheduled kuruka saa nane mchana.. MAADUI WANATOROKA kupitia airport, yawezekana jeshi limewaruhusu watoroke!!.. AIRPORT PASALIMIWE
  19. H

    JamiiForums Tanzania Polisi Wamedhihirisha ni Maadui wa JWTZ, Madaktari, Walimu, Vijana; Tuitikie Walichokianzisha Kila Mtu Kwa Nafasi Yake.

    Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
Back
Top Bottom