Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED!
LED - Light Emitting...
Mimi Mama wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa...
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati...
It is with great erudition and lexical dexterity that I make the assertion that Diamond Platinumz, the prodigious Tanzanian musician, should consider transitioning to singing in English. While it...
Africa's Most Spoken Local Languages
1. KiSwahili (200 million speakers)
2. Hausa (120 million speakers)
3. Amharic (57 million speakers)
4. Yoruba (50 million speakers)
5. Igbo (45 million...
Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au...
Mzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe...
A - a
-a prep. of.
-a baridi adj. cold.
abiria n. passenger.
-abudu v. worship; adore.
-a bure adj. free.
-acha v. cease; allow; leave; let go; abandon.
-achana v. leave each other...
Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli?
Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?
Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana...
"Kuna haja kubwa..."
Hicho Kirai (phrase) hakifai kwenye mawasiliano rasmi na ya staha.
Ebu ona hii:-
"Kuna haja kubwa"
Tafsiri zake mchanganyiko:-
1. Kuna uhitaji mkubwa.
2. Kuna choo (stool)...
Salaam Ndugu zangu?
Kuna baadhi ya maneno yanasaidia kutukumbusha sehem au matukio fulani katika maisha yetu.
Je maneno haya umeshawahi kuyasikia
Ngawira
Ndarama
Fagilia
Shangingi
Chekibobu...
Habari za wakati huu wana JF.
Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu...
Ukiwa Chugga, utasikia misamiati tofauti sana na maeneo mengine, kama kwenye wingi wa maneno, mfano:
Maji - Mamaji
Ulaya - Maulaya
Watu - Mawatu
Zipu - Mazipu
Kikombe - mavikombe
Sahani ya pilau...