BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 325
- 414
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia.
Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia saa 6 mchana. Rais Samia anaendelea kuvuta Wawekezaji zaidi kuwekeza nchini ili Taifa letu lipate mapato na maendeleo.
Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia saa 6 mchana. Rais Samia anaendelea kuvuta Wawekezaji zaidi kuwekeza nchini ili Taifa letu lipate mapato na maendeleo.