gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Vijana wa Tanzania waanzishe kampuni zao, waanzishe mashamba, wafuge kuku

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta za kilimo na ufugaji badala ya kusubiri na kuacha fursa hizo zikakamatwa na raia kutoka nchi za nje. Msigwa ameyasema hayo Agosti 5, 2026, katika mahojiano na Crown Media katika...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

    Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha : Msemaji wa Serikali ya Tanzania aingizwa mkenge

    Julai 16, 2026, Msemaji wa Serikali ya Tanzania kupitia ukurasa wake wa Instagram alichapisha: "Diaspora anayejua kupigania bendera ya Tanzania na manufaa ya Watanzania kwa vitendo namzungumzia @johnjackson_jj amemfikia mwanamziki mkubwa na maarufu nchini Marekani @djkhaled @johnjackson_jj...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali unasimama na CCM au Serikali ya wananchi

    Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini. Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ. Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa CCM. Mambo anayozungumza ni kujibia CCM.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Msigwa roho inamuuma Wananchi kuchangia ToneTone ya CHADEMA, wakati CCM ilichangiwa Tsh. Bil 86.3 na hakusema chochote?

    Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote. Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Msemaji asiye na akili Gerson Msigwa kashatia Taifa aibu, Afeki jambo kumfurahisha Samia,DJ Khalid amshushua

    When it's the monkey's day to die, all trees become slippery" The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit Tanzania deal! But thankfully he didn’t get away with it! DJ Khaled’s agency publicly denied any...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa na wenzako. Kuweni makini mnaweza kufa kwa kihoro

    Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Nasikitishwa na vijana wanaoichangia CHADEMA

    "Ninasikitishwa na tabia ya watu kuchangia mtu ili aweke hiyo hela atumie badala ya kuwaambia vijana wafanye biashara wapate hela waweke kwenye mifuko yao lakini wao wanachukua wanazitumia sasa kijana uamuzi ni wako ukachangie mtu ambae hatakusaidia au uje sokoni uzungushe hela upate faida"...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema badala ya baadhi ya watu kuwahamasisha vijana kujihusisha na shughuli za uzalishaji na ujasiriamali, wamekuwa wakiwahamasisha kutoa fedha walizonazo kwa maslahi ya watu wengine. “Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Zaidi ya Tsh. Bilioni 19 zimetumika kukarabati Uwanja wa Uhuru

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ukarabati wa Uwanja wa Uhuru umefikia zaidi ya asilimia 98 na hivi karibuni utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi ya vilabu vya Simba na Yanga kuelekea Simba Day na Yanga Day. Msigwa ameeleza kuwa uwanja huo umetengenezwa kwa viwango vya...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Machinga Complex Dodoma wamuhoji Gerson Msigwa pesa zipo wapi wateja hakuna

    Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko mdogo wa fedha. Kwa mujibu wa mfanyabiashara aliyetoa malalamiko hayo mbele ya Msemaji Mkuu wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  13. R

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Upuuzi uliopangwa wa 7/7 umeshindwa kwa jina la Yesu. Tujielekeze kwenye mambo ya msingi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewapongeza Watanzania kwa kuendelea kulinda amani, utulivu na mshikamano wa nchi huku wakipuuza wito wa baadhi ya watu wanaochochea vitendo vya kuwapeleka wananchi barabarani badala ya kujikita katika shughuli za uzalishaji na kukuza uchumi...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  15. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kero ya maji imepungua. Upatikanaji wa maji kwenye vijiji umefikia 85.5% na 95.2% maeneo ya mjini

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali imeboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi katika maeneo ya vijijini na mijini Amesema kuwa bajeti ya Wizara ya Maji imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 680 kwa mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.12 kwa mwaka huu...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mwenye ushahidi wa kiongozi aliyefanya matumizi mabaya ya fedha za umma aufikishe kwenye vyombo vya sheria, hatua zitachukuliwa

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametoa onyo hilo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuhusu madai ya baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali kutokana na mikopo ya serikali. Msigwa ameweka wazi kuwa serikali ina sheria zinazoelekeza matumizi sahihi ya rasilimali za...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kilichotokea jana kwenye umeme ni changamoto za kawaida na zinatokea kokote duniani

    Serikali, kupitia Msemaji wake Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kiufundi kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme nchi nzima iliyotokea jana na jinsi ilivyoathiri huduma za treni ya kisasa (SGR) "Najua wengi mmetikiswa na tatizo lililojitokeza jana. Tulipata hitilafu kwenye gridi ya taifa...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ukikopa, fedha zinakuwa sio za aliyekukopesha zinakuwa za kwako. Mkiona tunakopa mjue tunakopesheka

    Wakuu Akizungumza leo, Juni 28, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali amesema kwamba Nchi inakopa kwa sababu inakopesheka. Benki au taasisi yoyote ya fedha haiwezi kutoa mkopo bila kujiridhisha na uwezo na mpango thabiti wa mkopaji kurejesha fedha hizo. "Fedha nyingine tunakopa. Ni kweli, najua kuna...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azungumza na waandishi wa habari - Juni 28, 2026

    Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana...
Back
Top Bottom