kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya

    Jipime Huu Mtihani: Kama Hujafaulu Huu Mtihani wa English Huwezi Kwenda Kusoma UK/US/CANADA au Nchi Yeyote ya Ulaya. https://www.jamiiforums.com/threads/kama-kweli-unajua-kiingereza-tuambie-umepata-alama-ngapi-kwenye-maswali-haya-ya-kiingereza-marks-ulizopata-tuwekee-kwenye-comment.2474681/
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wazinzi Msipite bila kusoma: Bastard- Mtoto yeyote aliyezaliwa nje ya ndoa

    Ndiyo, neno "bastard" linamaanisha mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ya kisheria, ingawa pia hutumika kama tusi au neno la dharau katika lugha ya Kiingereza. Maana ya Asili Neno hili lilitumika kihistoria katika sheria za nchi za Magharibi kumaanisha mtu au mtoto aliyetokea nje ya ndoa halali...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimeokoa mamilioni ya pesa kwa kusoma Kitabu hiki cha ajabu!

    Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply yaliyoandikwa katika Kitabu hiki cha ajabu. Kitabu hiki ni Biblia. Kwanza kabisa, nimeokoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa kinafurahisha kipindi kile cha kusoma magazeti na kusiliza redio

    Miaka ya nyuma tulikuwa tunajipatia habari mbalimbali kwa kusoma magazeti na kusikiliza taarifa mbalimbali redioni. Pia taarifa ya habari ilikuwa na nguvu muda ukifika kila mtu anasikiliza. Magazeti yalikuwa mengi, na yaliuzwa bei tofauti. Kwa wale wasiomudu gharama walikuwa wanenda kujisomea...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Zamani watoto waliosoma primary english medium walikuwa wanaishia la sita wanarushwa form one. Leo hii la 7 wanalazimishwa kusoma pre form one. Why?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one. Na hapo unakuta hao watoto wametoka kusoma english medium primary schools. Kweli mtoto aliesoma mtaala wa kiingereza kwa miaka saba...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko tunayohitaji kwenye ELIMU yetu ni kuongeza au kupunguza miaka ya kusoma au kuboresha content?

    Kwa hiyo ndo maboresho makubwa walilofanya kwenye ELIMU ?? Tatizo la ELIMU yetu ni miaka ya kusoma au content yake ?? Twende TU hivyo hivyo uzuri watoto wengi wa mawaziri wabunge na WATUMISHI wa umma hata waalimu wa hizo shule hawapeleki watoto wa huko Watasoma watoto wa maskini na machawa...
  7. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️ Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake? Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine? Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watoto 4 kati ya 10 hawafikii kiwango cha chini cha kusoma

    Makete. Takribani watoto wanne kati ya 10 wenye umri wa miaka 10 hadi 14 mkoani Njombe hawajafikia kiwango cha chini cha umahiri katika kusoma, huku watatu kati ya 10 wakikabiliwa na changamoto katika kuhesabu. Takwimu hizo zimeelezwa wakati wa kufungwa kwa mafunzo ya walimu na wawezeshaji wa...
  9. mwandende

    JamiiForums Tanzania TASAC na DMI kipengele cha cheti cha form 4 cha kazi gn kwenye kusoma ubaharia?

    Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa nini kimetokea sijuwi ni ugumu wa ajira au ni vipi, sasa kuna wimbi kubwa sn la vijana wanawake...
  10. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Kanjibhai: How to become a bilionea

    Baada ya kilimo kulipa na kuvuna nusu ekari ya bamia huko kisarawe. Jana nimenunua kitabu cha Mo dewji how to become a bilionea ili niwaze kama matajiri wenzangu Ile kukifunua kuanza kukisoma page ya kwanza inasema alienda kusoma na alianza kupambania maisha yake akiwa new york Marekani...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kusoma kama private candidate ( PC)

    Kijana wangu ana ufaulu wa div 3. Ufaulu wa masomo yake ni History B na Geography C. Masomo yote yaliyo baki ni D. Je anaweza jiendeleza kama private candidate.
  12. Rumi96

    JamiiForums Tanzania Ushauri Course ya Kusoma Masters. Kwa Mtumishi idara ya msingi.

    Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT. Je, ni best option over MASTER OF EDUCATION IN ADMINISTRATION, PLANNING ANF...
  13. B

    JamiiForums Tanzania "Asilimia kubwa ya vijana kutoka Tanzania na Afrika nzima ujumla wanaoletwa na wazazi kusoma Marekani na Canada wamegeuka kuwa machoko ".. Elli David

    Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya wengi wao huishia my wa machoko na mateja... Du kama ndo hivyo Bora wasome Kayumba na waishi hapa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

    Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health summit,wanahudhuria masterclass na hii inakua ni tofauti kwenye vyuo vingine vya afya Je changamoto...
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali kupitia wizara ya elimu tunaomba mkatizame upya vigezo ya kusoma kozi za afya

    Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli? Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
  16. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali. 2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga Inahitaji...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini waumini masikini wasitibiwe au kusoma bure kwenye hospitali na shule za dini

    Habarini, Yaani waumini wa kiafrika waliowengi ni maskini lakini wanajitoa kwa sadaka ili kujenga hospital8 na zhule za makanisa na miskiti ila wanalipia juduma zote kwa 100%. Kwanini watu wa Mungu hao wasio na uwezo wasitibiwe bure wakati makanisa na miskiti hailipi kodi? Wajinga ndiyo waliwao!!
  18. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS. Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  20. M

    JamiiForums Tanzania kuna kifurushi kisichozidi elf 2 kwa mwezi cheny mb chache kwajili ya Gps Tracking, Kusoma email, Ving'amuzi, mashine za wakala, n.k. ?

    kuna vifaa au shughuli za mitandaoni zinahitaji mb chache sana, mfano gps ya gari inahitaji mb 60 tu kwa mwezi, kusoma emails maybe mb 80 tu kama hakuna attachments, kuna vingamuzi navyo vinahitaji mb chache kwajili ya updates, mashine za pos za miamala huhitaji kiasi kidogo cha data, n.k. ? je...
Back
Top Bottom