akutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA QATAR

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar, jijini Doha. Katika mazungumzo hayo, viongozi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akutana na viongozi wa Mbinga kuimarisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania JK akutana na mkurugenzi wa sasakawa peace

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Sasakawa Peace Foundation ya Japan, Bw. Masanori Kobayashi, katika ofisi yake ndogo iliyopo Masaki, Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalilenga kufuatilia...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania LIVE: Nchemba Akutana na Wananchi Ilongero

    https://www.youtube.com/live/vKnfRaMqeEI?si=VEfXN02_ql7yhs1V LIVE: WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 06, 2026, anazungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, pamoja na kusikiliza na kujibu hoja...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Xi Jinping Beijing

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People. Mkutano huo ulifanyika wakati Rais...
  7. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Balozi wa China nchini Tanzania

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi akutana na Putin.

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Mazungumzo hayo yaliyofanyika tarehe 15 Aprili 2026...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wanafunzi wa Kitanzania Mauritius; atoa wito wa nidhamu na Uzalendo

    Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha Middlesex na kuwashauri wanafunzi hao kuhusu maisha yao ya masomo pamoja na wajibu wao wa kuiwakilisha...
Back
Top Bottom