Mheshimiwa Rais, nimekusikia ukisema unaweka pembeni wazembe na wale wasiowatumikia wananchi ipasavyo, hadi pale watakapojirekebisha ndio unawarudisha!
Sasa mzembe asipochukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kushtakiwa Kwa kosa la kula mshahara Bure na uhujumu uchumi hawezi jifunza lolote...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
MHE. ESTHER MALLEKO ALISHAURI BUNGE KUTUNGA SHERIA ZA KUWADHIBITI WABADHIRIFU WA FEDHA ZA WALIPA KODI
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan, nayasema kwa moyo wa dhati kwa namna ambavyo ameweza kufanya kazi kubwa. Tumeona miradi mikubwa inayofanyika katika Majimbo na mikoa yetu. Nitakuwa...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa mabilioni katika ripoti ya mwaka 2021/22 ya CAG kuchukuliwa hatua.
Nkola, mkulima na...
Tarehe 29 Machi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022. Ripoti hiyo imeibua ubadhirifu katika sekta mbalimbali za umma na kuibua mijadala miongoni mwa wananchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule.
Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu...
Nimejiuliza kwanini hao TAKUKURU ofisi yao haikaguliwi na CAG. Hii nikwasababu ndani ya ofisi hiyo kuna walarushwa na wabadhirifu.
Kuna kesi wamezikaliatu wala hawapepesi macho kuzipitia.
Huu ufujaji unaotokea TAKUKURU wanamahali wamepwaya. Nchi nzima inanuka ubadhirifu, mikataba hewa...
Kwanza kabisa natoa pongezi kwa waziri Mkuu kwa moto alio uwasha kwa kufanya ziara ya ukaguzi wa miradi yote ya Serikali inayo endelea kwenye kila Mkoa nchini.
nafuatilia kwa karibu kila ziara za ukaguzi Mkoa wa Iringa, Katavi, Tabora, Pwani n.k, imebainika karibu kila mradi kuna...
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma.
Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.