Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977 lakini waandishi wa habari kimya ?
CCM sasa hivi ina watu dead wood kama Mary Chatanda na walking dead kama Wassira.
Mary Chatanda anautamani urais ili awafix watu, na ndicho kiko moyoni mwake.
CCM inatunza watu wajinga wajinga kama huyu mama, ambaye hata anachoongea hakijui.
Kama mwananchi namshauri ajitayarishe kikamilifu kwa...
Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe.
Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge
Kwa nafasi yake Jana amesema wazi kwa Mkuranga ni Abdallah Ulega na wengine hawastahili.
Mbaya zaidi katika hilo...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu.
Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa.
Chatanda amayasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Riverside, Kata ya Mwembesongo...
Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili?
Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa...
CHATANDA: "IGUNGA MMEPATA MBUNGE MCHAPA KAZI"
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda Amempongeza Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nidhamu yake ya uchapakazi na uwajibikaji kwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi.
Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi wanawake kupata mitaji inayowawezesha kufanikisha Utekelezaji wa tenda za wadau wa Maendeleo ikiwemo...
Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) imeungana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii katika kuadhimisha Siku ya Familia Duniani, ikiwataka wazazi kuungana katika suala la malezi badala ya kumwachia mzazi mmoja.
Hayo yamezungumzwa leo Mei 15, 2024 jijini Dodoma na mwenyekiti wa UWT, Mary...
Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiwa na Ndg. Issa Haji ussi Gavu Katibu wa NEC- Oganaizesheni na mlezi wa Jumuiya za CCM pamoja na Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi wameweka shada la Maua katika kabuli la Hayati Askofu Fransica Mwita Gachuma mke wa Ndg...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda amefika wilayani Tarime kufariji Familia ya Ndg. Christopher Gachuma (MNEC) kwa kuondokewa na mkewe Ndg. Fransisca Gachuma, tarehe 29 Machi, 2024. Tarime, Mara.
UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI
🗓️ 27/3/2024
📍 Winterfell, Mwanza
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
SHUKRANI ZETU KWA RAIS DKT. SAMIA ZIMEJIKITA KWENYE DHAMIRA YAKE YA KULIUNGANISHA TAIFA - MARY CHATANDA (MCC)
"Shukrani zetu Wanawake kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, zimejikita kwenye dhamira yake ya dhati ya kuliunganisha Taifa kuwa...
Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC).
Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akiweka Shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Shirini S. Sharifu (mtoto wa Mbunge wa Lindi Mjini Hamida Mohammed Abdallah), tarehe 18 Machi, 2024.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.