wakuu kwema,
tunatafuta kampuni za habari au waandishi wa habari huru wenye nia ya kushirikiana nasi kimkakati katika kuendeleza teknolojia, habari na usambazaji wa maudhui ya kidijitali. Tunakaribisha wenye nia ya kuchunguza fursa za ushirikiano.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
Waandishi nguli wa habari za michezo kutoka sehemu mbalimbali duniani wameendelea kuvutiwa na uzuri wa vivutio vya utalii nchini Tanzania baada ya kufanya utalii wa baluni katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kujionea mandhari ya kuvutia wakiwa angani.
Kupitia utalii huo, waandishi hao...
Moja ya hoja kubwa kabisa kwa sasa kwa taifa letu ni kuwa na mkuu wa nchi ambae hakubakiki kwa wananchi. Anachukiwa kila kona , watu wa lika zote wanamchukia.
Lakini huwezi kukuta Mwandishi yoyote makini akiandika kwa upana na unagaubaga juu ya hili.
Zaidi ya upuuzi na majipendenkezo. Mfano...
salaam nimeona siyo mara moja kwenye vyombo vyetu vya habari vikimuhoji muhusika kwa video call wakati muhusika akiendesha gari hii ni hatua nzuri sana kiteknolojia kwani unaweza kuhojiwa na kituo cha televisheni ukaoneka hata bila kuwepo eneo husika, ila kwa jicho lingine hii naona kama ni...
Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Vyombo vya Habari pamoja na Waandishi wa Habari wameacha misingi
Vyombo vya habari pamoja na waandishi wa habari tumeacha misingi... Kwa nini...
https://www.youtube.com/live/NMGmvwH9P-w
Waziri Kivuli wa TAMISEMI, Kulthum Mchuchuli anazungumza na Waandishi wa Habari, Septemba 25, 2026
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kinapinga kwa nguvu zote operesheni zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini za kuwaondoa...
Waandishi wa Habari wanazingatia press tu maana huko kuna maoko tu, huku kwingine hakuwahusu kabisa.
Ila tusiwalaumu sana , wanamengi wanapitia
============
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema pamoja na kuongezeka kwa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda anatarajiwa kufanya mkutano na Waandishi wa Habari kesho, Septemba 24, 2026, Jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Septemba 23, 2026 na Wizara hiyo, Makonda atatumia mkutano huo kuzungumzia masuala...
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo...
Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle...
Mkutano wangu na waandishi wa habari niliokuwa nifanye katika Hotel ya Golden Tulip nimeuahirisha.
Nimesikiliza hotuba za Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu. Wameeleza vizuri kuhusu uvumi na upotoshaji uliokuwa ukifanyika juu yangu na misimamo juu ya chama chetu.
Nimedumu katika mapambano haya...
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania Septemba 08, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amehoji utaratibu unaotumika kufungia vyombo vya habari ambapo ametaja kufungiwa kwa Gazeti la MwanaHALISI.
"Kwamba kwa nini serikali inapokamata wezi wa fedha huwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa udhibiti mkubwa wa Serikali kupitia taasisi zake...
Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda mrefu kwa umoja huo umechangia klabu hizo kudhoofika na kupoteza uwezo wa kujiendesha zenyewe...
Mkutano na Waandishi wa Habari
Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini.
📆 02 Septemba, 2026.
🕰️ 05:00 Asubuhi.
📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam.
Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche.
"Mzee Warioba kwa umri wake hana...
Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
Hamna maana yoyote ile.
Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia?
Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini.
Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao.
Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.