kongole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa Azam Media

    Leo ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza na Azam wameonesha mechi zote vizuri sana.Nimefurahishwa sana na muonekano mpya wa studio zao,tofauti kabisa na ule muonekano wa studio walipokuwa wanainesha kombe la dunia.
  2. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kongole Yas, Vodacom Fanya ivi na nyie

    Yas wanajitahidi Sana Upande wa renovation yani Wana service Fulani nzuri nzuri hata Lipa namba yako na App pia ni nzuri Saivi naona wamekuja na huduma ya Kujua aliyekupigia wakati upo offline ila pia uliyempigia akiwasha simu unaletewa pia ujumbe kuwa mteja uliye karibu kumtafuta kwa sasa yupo...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kongole sana Gen Z, kwenye burudani hampoi na hamboi kabisa! 😂👏

    Kuanzia Leonardo, yule jamaa wa "Tutakufuatilia", Eliud na mkewe, Koy Mzungu, Mama Mawigi, Mwenyekiti, Big na wenzie, Mlima Viazi Nziku kule Njombe, Wanyalu Tulizo na wenzie kitefu cha makani, Mwalimu wa Songea, rais wa mawinga na demu wake (huyu namcrush), Nyanda Kabundi (the lake zoner na...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa old xcul Bongo flava 30 yrs Concert

    Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kongole Khalifa wa The Chanzo

    Mwandishi Khalifa Said ni miongoni mwa sauti chache katika uandishi wa habari wa Tanzania wanaochanganya taaluma, uadilifu na ujasiri wa kusema ukweli. Ameendelea kujenga nafasi ya uandishi unaolenga si tu kutoa taarifa, bali kuelimisha na kuhamasisha fikra pana za kijamii. Anajitofautisha kwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa Wilaya ya Ubungo yaipa kongole DAWASA utekelezaji mradi wa maji Msumi

    Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

    https://www.tiktok.com/@obbyferooz/video/7592916506229460244?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Madagascar avunja Bunge baada ya kukimbia nchi, Upinzani wadai si halali kisheria

    Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee kongole sana kwa AI, kuna vitu imenipa solution wmbavyo labda ninge gharamika pesa na muda kuvipata

    Kuanzia tiba, marekebisho, mpangilio, garden yangu, etc Mimi natumia GROK a.i, wewe mwenzangu unatumia a.i ipi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais kwa kumuondoa Abdu -Razak Badru pale PSSSF

    Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake. Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia...
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefurahishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) ambao umechochea uboreshaji wa huduma katika bandari mbalimbali hapa nchini uliotokana na maboresho ya uwekezaji. Akizungumza mara baada kufanya ziara ya kujionea utendaji...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa Simba. Yanga tuna mengi ya kujifunza kimataifa

    Sina haja na salamu. Hakuna asiyejua kama mimi ni Shabiki kindakindaki ya YANGA SC. 1.Yanga yangu kimataifa inapwaya sana.Jana tumezubaa mpira hata haujavuka mstari refa akaita kati wachezaji plus Captain wamezubaa tu kama yale yale ya Mamelod hakuna hata kumlalamikia refa. Kama umeona game...
  18. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kongole Chadema! Kiongozi ni yule anayejua njia, anaonyesha njia, kutengeneza njia pale hakuna njia!

    Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu. Hatua ya Mbowe naye kutangaza kutetea nafasi yake, mimi naipongeza kwani itakiwezesha Chadema kuitafsiri falsafa yake ya...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wana Ngorongoro, nawapa kongole kwa mapenzi yenu ya dhati kwa CCM, mmeipa ushindi wa kishindo uchaguzi wa mitaa, mmekataa upotoshaji

    Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi. CCM imepata ushindi wa kishindo
  20. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Kongole sana Muleba Ibin Kagera kwa kujisimamia vizuri

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini ilipofika kipindi cha matokeo wote walikuwa makini kufuatilia matokeo yao. Na walivyopata matokeo...
Back
Top Bottom