kikaangoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kilio cha Simba chasikika. Kayoko kuwekwa kikaangoni

    MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi, Nassor Hamduni, amewaambia wanachama na mashabiki wa Simba kuwa wamesikia kilio chao dhidi ya mwamuzi Ramadhani Kayoko na jambo hilo litakwenda kufanyiwa kazi na Kamati na Nidhamu na anaweza kuadhibiwa iwapo itathibitika kuwa alikuwa na mapungufu kwenye uamuzi...
  2. BigTall

    Paul Makonda amuweka Afisa Madini wa Katavi kikaangoni

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amemtaka Afisa Madini Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja kuhakikisha anafuata sheria na taratibu za kuhakikisha utoaji leseni za uchimbaji madini unazingatia uzalendo huku uongozi wa mkoa ukisisitizwa kumaliza mgogoro...
  3. Suley2019

    Aweso aiweka kikaangoni LUWASA. Aipa mwezi mmoja

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa mikakati. Ametoa kauli hiyo jana Januari 26, 2024 akizungumza na bodi, watumishi wa mamlaka hiyo pamoja...
  4. Jabali la Siasa

    Katikakatika ya Umeme na Uhaba wa mafuta yamtia kikaangoni Majaliwa mbele ya Wajumbe wa NEC, ashusha rungu kwa Mawaziri husika

    === Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo. Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
  5. Erythrocyte

    Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
  6. S

    USHAURI: Nimewekwa kikaangoni

    Habari za humu jukwaani! Natumani wazima. Naomba ushauri wenu juu ya hili maana linanitesa sana. Kuna manzi namuelewa sana. Nina malengo ya kutengeneza familia na yeye maana ana sifa za mke ninayetaka kuwa naye. Ila sasa, yeye hasomeki. Hataki kuamini kama nampenda kweli. Anahisi mimi ni hit...
  7. HIMARS

    Rais Samia avunja Bodi ya TRC, atengua uteuzi wa Wakala wa Ndege za Serikali. Aagiza wabadhirifu washughulikiwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule. Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu...
  8. BARD AI

    Aliyeteuliwa Ubunge akiwa mahabusu kuhojiwa Mahakamani leo

    Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji Nusurati Hanje. Mawakili hao wa Chadema wanaendelea kuwahoji baadhi ya wabunge hao kuhusiana na ushahidi...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  10. J

    Gwajima, Polepole na Silaa waitwa Kamati ya Maadili ya CCM

    Dodoma. Wabunge watatu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwamo Mbunge wa Kuteuliwa, Humpherey Polepole watawekwa kikaangoni leo na Kamati ya Maadili ya Wabunge wa CCM kuhojiwa kuhusu masuala tofauti. Wabunge wengine watakaohojiwa leo ni Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga) ambao...
Back
Top Bottom