kitambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: Kitambulisho Kidijitali na Udhibiti Kamili

    BILL GATES: KITAMBULISHO CHA KIDIJITALI KITADHIBITI KILA HATUA YAKO — MWILI WAKO, PESA ZAKO, CHAKULA CHAKO NA CHANJO ZAKO ZITAELEZA KAMA UTAWEZESHWA “RUHUSA YA KUISHI” AU UTAZIMWA! Gates anapongeza kuunganishwa kwa kitambulisho cha kidijitali cha kibayometriki, akaunti za benki, mifumo ya...
  2. zaza1

    JamiiForums Tanzania NIDA, Kama Kitambulisho Kimetoka, Kwa Nini Mmiliki Asipigiwe Simu?

    Kumekuwa na taarifa na mjadala kuhusu wananchi ambao vitambulisho vyao vya NIDA vimekwishaandaliwa lakini bado hawajavichukua. Hoja yangu ni moja: kama NIDA tayari inajua kitambulisho cha mwananchi kimekamilika, kwa nini isiwasiliane moja kwa moja na mwananchi huyo kwa simu au SMS? Wakati wa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje kwenye muungano Znz kuwa na kitambulisho cha taifa na mpaka leseni ila kwao sisi watanganyika tukawa wageni wa ile nchi

    Kama kuna mtu anaweza kufikisha kwenye habari za Maajabu ya dunia na ili la muungano liwekwe. Ukiangalia hata mpangilio wa bunge, waziri yani wao wanaweza kutawala Tanganyika ila sisi kwao hata uwo kama raia wa muungano hupati. Kweli tutamkumbuka Oscar Kambona.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimerudisha Kitambulisho changu NIDA Morogoro tangu Januari, hadi leo sijapewa kingine

    Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili vibadilishwe na kutolewa vingine visivyo na changamoto hiyo. Nilirudisha kitambulisho changu tangu mwezi...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  7. AJIRA SASA

    JamiiForums Tanzania KERO Kitambulisho changu hakitoki toka mwaka 2020-2022

    Habari, Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo. Licha ya juhudi zangu kufuatilia katika ofisi mbalimbali niliambiwa ya kuwa kitambulisho kipo hatua ya mwisho kwenye mchakato wa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kujua kama Kitambulisho chako cha NIDA kimechapishwa, huna ulazima wa kwenda Ofisini, unaweza kujua kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
  9. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Kuna kitambulisho cha mwanachuo kimeokotwa sehemu...

    Kuna ID ya mwanachuo wa TUMAINI UNIVERSITY, nimekiona somewhere... Sijui namna za kumpata nimpe... ....au atakitengeneza kingine.... SAMIA ANATOSHA HADI 2040.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za NIDA Ilemela - Mwanza kuna uzembe kwenye utoaji Vitambulisho vya Taifa, Mamlaka zifuatilie

    Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi hicho nikaambiwa itakuwa kilisahaulika. Sasa inawezekana vipi taarifa zilizopo kwenye mfumo...
  11. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kitambulisho Cha NIDA ukoje?

    Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Simbachawene: Ukitoka Desemba 9, uwe na kitambulisho

    Vitambulisho vya nini wakati mmesema hakuna matishio ya amani? Ila Tanzania tulipofika sasa ni huzuni! ================= Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amewakumbusha wananchi watakaotoka Desemba 9 wahakikishe wana vitambulisho ili kuepusha usumbufu.
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kashushwa njiani wakati anasafiri kutoka Dar kwenda Morogoro kwa kuwa hana kitambulisho

    Mdogo wangu jana alikuwa anasafari ya kutoka Dar kwenda Morogoro, wakiwa wameshatoka Stendi ya Magufuli hata kabla hawajaliacha jiji hilo, wakasimamishwa na Wanausalama, wakaombwa vitambulisho, yeye na wenzake kadhaa hawakuwa na ID zozote wakati huo. Wanausalama hawakutaka kuwalewa wakaamua...
  14. econonist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  15. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kwanini sasaivi Twitter na badhi ya site wanataka utume picha yako au kitambulisho( verification)

    Kitu kinacho niuzi kipindi hiki ni hiki. Website na x platform wanaomba verification ! Je ni Tz tu au nchi nzima
  16. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Nilijiandikisha kupiga kura ili nipate kitambulisho na Siyo kupiga kura

    Tume ya Uchaguzi na CCM yenu mnatakiwa mjitafakari sana kwamba; Vijana na Gen Z kujiandikisha kwetu kwa wingi kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, kusiwafanye muwe na uhalali wa kuamua na kuwa na kauli moja kwamba tutapiga kura!. Kura hatutapiga ila tutatumia hivyo vitambulisho kuombea...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Unacho kitambulisho cha kupigia kura ili upige kura au uwe na kitambulisho

    Toa maoni yako
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded NIDA: Kitambulisho kikifutika kilete Mkandarasi atakichapisha upya bila malipo

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliandika "Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya Vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa kipindi hiki vinapoteza maandishi kwa muda mfupi tangu vitolewe...
  19. Michael ulilo j

    JamiiForums Tanzania KITAMBULISHO CHA NIDA

    Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
  20. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha NIDA

    Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani...
Back
Top Bottom