mapambano

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Mtondoli

  NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

  Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
 2. Mtoto wa nzi

  Katika yale Mapambano ya Kuachana na Ulevi

  Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
 3. Baraka Mina

  #COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021. Fuatilia matangazo hapa Dondoo ujio wa...
 4. L

  Mapambano dhidi ya wanaume yanaendelea: Mkuu wa Wilaya aagiza wanawake wasitoe huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

  Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma ambaye ni mwanamke mwenzetu ameagiza wanawake wa Ruvuma kabla hawajafanya mapenzi na wanaume wawakague kwanza kujiridhisha kwamba wametahiriwa, ikiwa hawajatahiriwa wasitoe huduma ya mapenzi. Hii yote ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi kwani utafiti unasema wanaume...
 5. B

  Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

  Hii ni habari njema kutokea UN. Uthibitisho zaidi kuwa ni nini iliyo kiu ya watu kote duniani. Tusidanganyane tunataka kupumua kwa uhuru, haki na usawa kisiasa na kijamii. Kiongozi dikteta si wa zama hizi. Hautakuwa peke yako baba askofu. Zambia wametambuliwa kwa jitihada zao za...
 6. beth

  TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

  TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
 7. B

  Katiba Mpya: Mapambano bado yanaendelea

  Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu. Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu. Mapambano haya yaliyoendelezwa...
 8. S

  Mbowe akitoka Mahabusu, atasema, "nimewasamehe, ila mapambano yanaendelea"

  Huu ndio utabiri wangu siku Mbowe anatoka Mahabusu. Atazungukwa na Media za kitaifa na kimataifa na ujumbe wake utakuwa ni huo au wenye kufanana na huo. Historia ya mapambano ya kudai Katiba Mpya inazidi kuandikwa, na picha za Mbowe kuwa Mahakamani na za kuachiwa huru au hata kufungwa gerezani...
 9. B

  Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

  Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
 10. The ricco king

  Story of Change Makosa ya Serikali kufuatia mapambano dhidi ya UVIKO-19 na chanjo yake

  Utangulizi Dunia nzima imekumbwa na janga zito la ugonjwa wa UVIKO-19 lililoanza mwaka 2019 huko nchini China bara la Asia na kutokana na uzito wa janga hilo kila nchi imejitahidi kufanya kila namna ili kunusuru wananchi wake na madhara yatokanayo na ugonjwa huu hatari, zipo nchi zilizozuia...
 11. S

  Mdude Chadema ni uthibitisho kuwa kuwaweka ndani wapinzani, ni kuwakomaza na zaidi ni kuwaongezea "ari" ya mapambano

  Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu. Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani inawafanya kuwa majasiri zaidi. Kabla jua halijazama, Mdude Chadema, aliekaa ndani kwa muda mrefu, jioni...
 12. S

  #COVID19 Vita dhidi ya Corona: Kunawa mikono sawa lakini vipi kutumia media kuhimiza watu kuacha kupiga chafya na kukohoa kwa kutumia viganja vya mkono?

  Unajua wakati mwingine wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa tena sometimes kwa kukosa maarifa madogo tu. Mfano halisi wa hiki ninachosema ni sisi wanadamu kutumia nguvu kubwa kuhimiza watu kunawa mikono/kutakasa mikono katika kudhibiti maambukizi ya corona na kutumia nguvu kidogo kuhimiza...
 13. B

  Shaka Hamdu Shaka: Tanzania haiko kwenye mapambano ya demokrasia

  Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na kuingia mfumo wa vyama vingi yalifanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria na kuifanya Tanzania kuwa nchi inayosimamia misingi ya kidemokrasia kinyume na madai...
 14. Stephano Mgendanyi

  Shaka Hamdu Shaka: Tanzania haiko kwenye mapambano ya demokrasia

  SHAKA HAMDU SHAKA: TANZANIA HAIKO KWENYE MAPAMBANO YA DEMOKRASIA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi. Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demokrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka mfumo wa chama kimoja na...
 15. J

  #COVID19 Mapambano dhidi ya Uviko 19 - viongozi wa dini mbalimbali watakiwa kuendelea kuisaidia Serikali

  MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO 19 - VIONGOZI WA DINI MBALIMBALI WATAKIWA KUENDELEA KUISAIDIA SERIKALI Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Urban Mwegelo amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuisaidia Serikali kupambana na Ugongwa wa Virusi vya Korona ( UVIKO 19). Mhe. Mwegelo ametoa rai hiyo...
 16. Sandali Ali

  Kwenye suala zima la mapambano dhidi ya COVID 19 nimejikuta najuta kuwa Mwafrika

  Habari za mchana ndugu! Huku mataifa makubwa madaktari wakibishana kupigania chanjo walizozigundua huku madaktari wetu wako kimya. Ok hiyo sio issue sana maana hata huko nje wapo madaktari ni mizigo pia. Issue inayonifanya nijute ni sisi waafrika kutwakutwa kujazana upepo kuwa chanjo za...
 17. blessideal

  Story of Change Mapambano dhidi ya ukosefu wa ajira

  UKOSEFU WA AJIRA Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira zisizo rasmi mfano Wizi,Kuuza madawa ya kulevya na mengineyo.Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
 18. L

  #COVID19 Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

  Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
 19. B

  Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

  Kuna thwawabu kubwa kwa wote wasimamao kuipigania haki kwa ajili ya wote. Kwa maana njia hiyo si kila mtu anaweza kuipita. Njia hii si lazima kwa kila mtu kuipita. Waipitao njia hii ni wale tu walio na wito kamili. Kama ile iendayo uzimani, ina vikwazo vingi. Kipi ambacho kamanda Mbowe...
 20. Q

  Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

  Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
Top Bottom