uturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Raisi wa uturuki ni katili, anaeminya wananchi wake na kufadhili ugaidi ME. Kuna minong'ono ya vita na israel, Ndoto yake kuu ni kuwaangamiza wayahudi

    Huyu bwana ni mauti yanayotembea Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani. Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd Sasa anataka akawaue na wa israel
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Chokochoko dhidi ya Israel kutoka mataifa ya Kiislam ni Quran angalia anachotaka kukianzisha Uturuki

    Uturuki ni Taifa la Kiislam chini ya Edogan, ila wasichojua watu wengi ni kuwa majority ya Waturuki ni Waislamu wa Sufii. Baada ya Utawala wa Kiislamu wa Iran kushika hatamu huko iran na kujiimarisha Kijeshi, Wahafidhina hao wa Kiislamu wakajiona wao ndiyo wamekuwa Wasimamizi wa Kuinua Dola ya...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aionya Uturuki kuingilia Syria!!

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba Israeli haitavumilia uvamizi wa kijeshi wa Uturuki nchini Syria unaotishia nchi ya Israel Netanyahu alisema Israeli tayari ilikuwa imetoka ONYO Kali kwa Uturuki: "wasipeleke vifaa vyao vya kijeshi huko Syria." "Inavyoonekana wali dharau ONYO Hilo,"...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sasa Magaidi wa Hamas kuhamisha makao yao rasmi kutoka Qatar hadi Uturuki!!

    Hamas inaripotiwa kujiandaa kuhamisha shughuli zake nyingi za siri kutoka Qatar hadi Uturuki, huku ikiendelea na shughuli zake nyingi za umma huko Doha, kulingana na Kan. Mabadiliko hayo yaliyoripotiwa yanakuja huku kukiwa na mvutano na Qatar kufuatia kuchaguliwa kwa Khalil al-Hayya kama...
  5. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Uturuki ilivyozuia mpango wa siri wa Mossad na CIA kupindua serikali ya Iran

    Gazeti la New York Times imeripoti mpango uliokuwa umesukwa na Mossad kwa ushirikiano wa karibu na CIA wa kutumia vikundi vya waasi wa kikurdi huko Iran na Iraq ili kushambulia na kupindua serikali ya Iran. Mipango hii pia ilihusisha kumtumia Rais mstaafu wa Iran Mohammed Ahmedinejad kama...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Uturuki na waliyokumbuka na sheria zikabadilishwa ila hapa Tanzania mnaogopa nini?

    Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona mpo kama hivi
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Urusi yaishambulia meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania. Ilikuwa inatoka Ukraine kwenda Uturuki

    Russia imelipua meli yenye bendera ya 🇹🇿 iliyokuwa ikitoka Chornomorsk kwenda Uturuki ikiwa imebeba alizeti. Mlipuko wa drone umeua baharia mmoja =============== Russia struck the Tanzania-flagged cargo vessel ATLAS BE off the coast of Odesa. The ship was sailing from Chornomorsk to Turkey...
  8. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa mbwembwe za kusindikiza basi la Uturuki kwenda world cup, leo wametoka mapema na hawajafunga hata sumni

  9. Fene

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kukata uhusiano wa kidiplomasia na Uturuki

    Mkuu wa Majeshi ya Uganda na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua taharuki mpya ya Kidiplomasia baada ya kutoa maonyo makali dhidi ya Uturuki kutokana na uhusiano unaozidi kuwa mbaya kati ya nchi hizo mbili. Katika msururu wa machapisho yake kwenye X (zamani...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Israel Istanbul Uturuki washambuliwa na magaidi watatu, Mmoja auawa na wengine wawili wajeruhiwa

    Mtu mmoja ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia majibizano ya risasi na polisi karibu na ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul, gavana wa jiji hilo amesema, akiongeza kuwa maafisa wawili wa polisi walijeruhiwa kwa kiwango kidogo. =========== ISTANBUL, Turkey — One attacker was killed...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Uturuki haitaruhusu Iran igawanywe, tutachukua hatua kali kama tulivyofanya Syria

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likidai kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa kauli kali kuhusu Iran. Chapishi hilo limechapishwa katika ukurasa wa Athumani Seiph Amri ambapo Erdoğan anadaiwa kusema kuwa Uturuki haitaruhusu Iran...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Msaada wajuzi wa mambo wa Uturuki

    Kwa wajuzi wa mambo ambao wameweza kuishi au kusoma au kwenda tu matembezini abroad hasa nchi ya Uturuki Je mji mzuri wa kuishi ambao maisha yapo cheap kwenye nchi ya uturuki Izmir, Bursar, Ankara, Antalya, Istanbul na miji mingine upi mji mzuri kuishi?
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hili jengo pembeni ya ubalozi wa uturuki njia ya Coco beach ni la nini/Nani?

    Kwa sasa mafundi wanalipiga lipu nje ukutani limenivutia Sana Ila sijapata nafasi kusoma kibao kujua client ni Nani? Msaada wajuzi wa mambo ni ubalozi, apartment, msikiti, au nyumba ya mtu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani Uturuki kukabiliwa na Mashtaka ya Chama kuendesha Mkutano kinyume cha Sheria

    Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki, Republican People’s Party (CHP), kinakabiliwa na mtikisiko mkubwa ambapo leo Septemba 15, 2025 Mahakama mjini Ankara inatarajiwa kuamua iwapo itabatilisha mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika mwaka 2023 kwa madai ya kasoro za kisheria. Hatua ambayo...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Polisi wamewatia mbaroni wanaume wawili raia wa Uturuki waliokuwa na silaha, katika tamasha maarufu la Kitaliano karibu na jiji la Rome

    Huko Viterbo, Italia, polisi waliwakamata wahamiaji wawili wa Kituruki waliokuwa na bunduki, bastola, na risasi nyingi waliokuwa tayari kufyatulia umati wa Wakatoliki 40,000 waliokusanyika kwa ajili ya Sikukuu ya Santa Rosa. Magaidi hao wawili walikuwa wamejipanga katika nyumba ya kukodi...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye asili ya Uturuki auawa na wasiojulikana

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya Alptekin Zeynelabidin Aksoy, mwenye umri wa miaka 52, ambaye ni raia wa Tanzania mwenye asili ya Uturuki, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana alfajiri katika eneo la Makaburini, Kinondoni. Kwa mujibu wa...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kituo kinachofata ni Pakistan, Qatar, Uturuki, Saudia kisha Jordan

    Ukishakua upande wa Marekani unaweza fanya lolite na hakuna kitakutokea, Na Israel hataki kuzunguukwa na nchi zilizo imara. 1. Walisema Israel ikiingia gaza ni ww3, nothing happen 2. Walisema Ukraine ikipiga ndani ya Russia itafutwa, nothing happened 3. Wakasema hisbullah wakiingia wataifuta...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
Back
Top Bottom