watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATANZANIA 2 WALIOKAMATWA MOMBASA KWA KUDUWAZA ABIRIA NA KUWAIBIA KUZUILIWA SIKU 21 - Mali ya Zaidi ya Sh2M Yadaiwa Kuibwa

    Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao. Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

    Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Kwanza niwashukuru Watanzania, hii milioni tatu nitampelekea Baba yake na Banana Zoro, Prof Jay na mama yangu

    Msanii wa muziki wa Rap nchini, Dudu Baya, ametoa shukrani za dhati kwa Watanzania na wasanii wenzake Madee, Babu Tale, na Fid Q baada ya kumsaidia kumlipia faini ya mahakamani. Akizungumza kuhusu msaada huo, Dudu Baya ameeleza kuwa fedha kiasi cha Shilingi milioni tatu ambacho alikuwa...
  5. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

    Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  8. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watanzania kufika Milioni 120 ifikapo 2050

    Ongezeko la idadi ya watu nchini Tanzania linatarajiwa kufikia takribani milioni 120 ifikapo mwaka 2050, hali inayotarajiwa kuongeza mahitaji ya miundombinu na huduma muhimu. Fursa kubwa zinaonekana katika ujenzi wa nyumba, barabara, hospitali, mifumo ya maji na miundombinu ya mijini, huku sekta...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  11. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Watanzania sisi ni masikini au hatujui njia sahihi ya kupambana nao, huko Instagram kuna vituko

    Kwa kifupi huko Jamhuri ya watu wa Instagram ndio nimetembelea nimeshtula kidogo. Kuna Dada anajiita Diva ni binti wa Malinzi ana mashauzi kama yote isitoshe amepanga Masaki. Sasa kituko anadaiwa kodi ya miezi mwenye mjengo kaja juu, Dada wa watu kwa kutambuwa ana utajili wa misukule...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Linda Mgongo Wako na wa Jamii Yako: Msimamo wa Dudubaya ndiyo msimamo wa Watanzania wote.

  14. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Ajali Zinatumaliza Watanzania

    Kila siku tunasikia taarifa za ajali zinazopoteza maisha na kuacha familia zikiwa na majonzi. 😔 Hamna mtanzania ambaye yupo salama ambaye anatoka asubuhi kwenda kutafuta. Polis wa usalama barabarani fanyeni kazi kwa weledi ajali zinaepukika. Tuwe makini barabarani: 🚗 Epuka mwendo kasi. 📵...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahoji watoto wa vigogo kumiliki diplomatic passport baada ya Teresa kushare passport akiwa airport

  16. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari unaoongozwa na China unafungua fursa mpya za kazi kwa Watanzania

    Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam. Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
  17. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    CCM inazidi kujidhirihisha kua ndio chama kikubwa Africa hii ni ziara ya mwenezi mkoani iringa Karibuni sana Chama kubwa
  18. sindano butu

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli tukianza kuulizana asili ya mtu popote tumuonapo mtu Tanzania ni kuwa tunamuuasi mwenyezi mungu ?

    Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu. Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Neno Zazwa ni Sawa na Zuzu?. Kukiukwa kwa Katiba ya JMT Huku Tumenyamaza, Je Sisi Watanzania ni Mazwazwa na Mazuzu?.

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu". Naomba kuanza na usaidizi wa AI neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
  20. fact only

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wajinga sana.

    Hellow wana JF. Saizi mitandaoni, maredioni na viongozi wa jiji la Dar es salaam kuanzia mkuu wa mkoa, wabunge mpaka balozi wa nyumba kumi wanajifanya kukomalia usafi kwasababu Mh Rais alisema Dar es salaam ni chafu sana. Inamaana Mh Rais asinge sema jiji lingeendelea kuwa chafu na kunuka...
Back
Top Bottom