mamilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

    Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta. Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nyerere (RIP), Kanumba (RIP). Hivi kuna Watanzania wengine waliogusa kwa hisia kali mamilioni ya Watanzania kwa vifo vyao kama hawa?

    No one can cheat death but legends live forever.
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  4. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania wadakwa na mabilioni nchini Malawi

    Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo. Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba wa TBC Baada ya Kuchukua Mamilioni ya Kustaafu Sasa Arudi Na Ziara ya URUSI!

    ANAANDIKA AYOU RIOBA , MSTAAFU TBC ANAYEKULA MAFAO KWA MRIJA:- Ziara ya Rais SSH Urusi ni muhimu sana, hasa tukizingatia historia ya mataifa yetu! Ninafahamu fika kwamba ndugu zetu mabeberu watachukia. Tanzania na Urusi zina historia kubwa kimahusiano. Tuna Watanzania wengi waliosomeshwa Urusi...
  6. contask

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unajaza mamilioni benki wakati kuna USDT na other stable coins?

    Wakuu salama. Kuna mada naona inabidi tuichambue kwa jicho la kisomi kidogo, hasa kuhusu jinsi tunavyouza jasho letu wenyewe kwa kuziachia benki za kiasili zishikilie akiba zetu za muda mrefu. Ukiweka akiba ya Shilingi benki leo, kiuchumi unakutana na vitu viwili vinavyokula mtaji wako kimya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotumia hesabu kutabiri matokeo ya mechi muhimu za jana na kujikusanyia mamilioni

    Siwezi kuacha hili lipite bila kuleta mrejesho vijana wangu I feel good @ holoholo-baba kijacho Rejea post hizi ili kujifunza nguvu ya hisabati kweye maisha ya kilasiku https://www.jamiiforums.com/threads/leo-simba-ana-uwezekano-mkubwa-sana-wa-kushinda-nitawachambulia-kwanini.2434257/...
  8. T

    JamiiForums Tanzania HOJA Katikati ya crisis ya mafuta ambayo hatujui tunatokaje tunateketeza mamilioni ya Lita za mafuta kukimbiza mwenge

    Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani? Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee kufuja pesa za wananchi kulipia mwenge?
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Sh200 Kidogo, Mamilioni Makubwa! KEWOTA Yatikiswa na ‘Payroll Heist’ ya Walimu 95,000

    Kuna mambo imeanza kunuka kwa Kenya Women Teachers Association (KEWOTA) baada ya kufichuliwa sakata kubwa ya pesa. Inadaiwa zaidi ya walimu wanawake 95,000 walikuwa wanakatwa Sh200 kila mwezi bila consent yao – sasa ukifanya hesabu, hiyo ni over Sh228 million yearly! Investigations zinaonyesha...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

    Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja na mshirika wake Marekanin yaliyoanza February 28, 2026 na mpaka sasa yanaendelea Ripoti hiyo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi familia kama hii inachuma na kuchuna mabilioni mangapi ya watanganyika kama posho, mishahara, retirement benefits etcetc

    1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month 2. Mama mbunge na mafao ya wenza 3. Mtoto waziri 4. Wajukuu ma CEO All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  15. nimechafukwa

    JamiiForums Tanzania Mradi wa "AFCON City" Arusha: Ni Upigaji au uzembe? Wananchi tumelipa mamilioni, viwanja vimebaki kuwa pori!

    Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la Olmoti/Oloresho, eneo ambalo limezunguka uwanja mpya wa kisasa wa Samia Suluhu Stadium. Lengo lilikuwa ni...
  16. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 na fursa ya utajiri wa nje nje

    Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu yako vizuri. Masoko Vyuo vikuu, mtandaoni ndo baba lao, Haya tajirika na wewe, hakikisha Kuna chapa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania, naomba, Familia ya Magufuli itusamehe

    Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa kiwango ambacho wachache walimwandama Kwa niaba ya Watanzania walio wengi, Nachukua nafasi hii kuomba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!

    Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena! Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa tena sana. Elimu tayari imeingia Wananchi wa kawaida kuhusu HAKI na bahati mbaya uzembe wa serikali...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
Back
Top Bottom