wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Salam wakuu . moja kwa moja kwenye mada Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nyie wenzangu mnawezaje kuishi na jirani ambae ana tabia ya kufungulia bufa hadi mwisho Maana hapa naona kama uvumilivu unaelekea kunishinda kama kuongea nishaongea sana lakini naona kama vile sijui...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoo mnifundishe tabia ya kutojibu message kwa wakati.

    Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu. Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu. Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Hii ni muhimu kwa wanywa pombe wenzangu

    Kucheki afya yako ni muhimu sana , afya ya moyo , kiwango cha sukari mwilini na nk ni muhimu mno. Sio unagida mipombe bila kujua afya yako ipoje , watoto wadogo kabisa unakuta ni mgonjwa wa sukari bila kujijua ,anagida mipombe tu bila kujua hali ya afya yake🤔, mwisho wa siku tunamchimbia...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  5. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
  6. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  7. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenzangu, tupeane uzoefu wa ku-deal na wateja wa online

    Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
  9. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Furahi na wenzangu, ndo maisha - sitaki kujenga chuki (Kalikawe) ... sahihi, chuki na hasira bila msingi zitakutafuna

    https://youtu.be/-f-uON139bw?si=2E6ydXbWK3vumHvA
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. 👇
  11. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Wenzangu huwa mnaishi vipi na watu wabahili?

    Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted Chakula kwake kununua ni changamoto Hadi anavizia muda wako wa kula naye anakuja na si kwamba ni mara Moja...
  12. Its Jensen

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnisaidie naenda kupoteza mchumba

    ..
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Fresh wakuu? Mficha maradhi kifo humuumbua. Nina mpenzi wangu,ni mwanamke wa kichaga,ni mrembo tu na ana akili ya maisha ,lakini changamoto yake ni tungi huyu mtu anapenda bia (castle lite) zaidi ya chakula,nimeongea weee mpaka nimeamua kuwa mpole. Note:majukumu yake kama mwanamke...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu ngoja niwaambie kitu: Mwanamke atakayekubali kuwa chini Yako na kukusikiliza ni yule uliyemzidi Kila kitu tu

    Ngoja nipumzike siasa kidogo jioni hii: Unaishi na mwanamke ambaye mpo sawa almost Kila kitu usitegemee atakuheshimu kwenye ndoa, utabaki unalalamika ana kucheat na huna cha kumfanya. Kwa mfano: Salary advance mnaomba wote, kikundi/kikoba mnacheza wote, kwanye gari nauli mnabisha wote🤣, jero...
  15. A

    JamiiForums Tanzania How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

    Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃)...
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Toka nijiunge JF sijapata wa kum-cc humu wenzangu huwa mnawapataje

    Naamini mitaa hii manzi zipo nyingi sana ila ni adimu kupatikana kwa upande wangu wakuu nipeni miongozo namimi niwe na c mbili kwenye comments
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  18. Mngoni asiyepiga gambe

    JamiiForums Tanzania Kwa wahenga wenzangu naitafuta hii nyimbo

    Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi "Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe nakupenda japo huna kitu Chorus " Neema kumbuka kupata ni majaliwa mapenzi sio mali wala kipato...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu huwa tunaongea na watoto wakiwa bado tumboni ili kuwajenga namna tunataka wawe?

    Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
Back
Top Bottom