Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo.
Alikua anafanya kazi smz kama si ardhi, basi mambo ya ujenzi sijui sikumchinguza sana, alikua akiishi stone town, mwaka Jana...
Kuna mambo nilijua nimeona na kusikia mengi ila hili alilolileata britanicca kwenye uzi wake wa episode 1 mambo yanayotokea huko ughaibun limenizuhuzunisha na kuona hela zinachukua nafasi ya ubinadamu.
"Ntaendelea na kisa cha Mtanzania aliyeambukiwa online kufika anaambiwa wamnyee mdomoni na...
Naaaam Jumapili fulan tulivu
Ewe Mzazi usithubutu kumruhusu mwanao Kwenda kufanya kazi Dubai , Thailand na Maeneo mengine ya Asia hasa akiwa wa kike
Hili ni suala gumu lakini muhimu kulizungumzia Wengi husikia "Dubai au China au Thailand ni pesa na kula maisha" lakini upande mwingine ni...
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
Majiji kama Dar yanapopata investment kubwa na kutangazwa vya kutoshaa, more people wanaanzisha companies, businesses nk ambapo watajenga offices, apartments, malls, hotels, supermarkets nk
Wanavyojenga hivi vitu watu wengi wanapata ajira, lakini pia skyline ya jiji inabadilika
Kama Dar ikipata...
Nchi za Ulaya na Marekani ukisoma kuna uwezekano uanzie maisha huko huko, Ajira zipo kibao
Unaenda kusoma China, India, Malaysia, Thailand, Indonesia, n.k. halafu hauna connection wakati wenyeji wa huko wanahangaika kutoka waende Marekani na Ulaya.
Unarudi bongo kizaa zaa kinaanza kwenye...
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Je, ukoloni pekee ndiyo unaolaumiwa? Au kuna mengine zaidi? Hili ni swali ambalo linaibuka tena na tena miongoni mwa wachambuzi wa historia, maendeleo na siasa za kimataifa. Mara nyingi, hoja maarufu inayorudiwa ni kwamba mataifa ya Afrika yamekuwa nyuma kwa sababu...
Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara.
Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa:
“Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia
Yerusalemu mji wa mwenda usiku
Vatican pamoja na kashfa za ngono
Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida.
Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
Hiki kitu nimeona sana nchi ambazo majasusi waliobobea wameweza kujiweka na ndevu ambazo si rahisi kujua huyu ni asia au mwarabu wakiwa na lengo lao.
Ina maana wazungu wanaweza kubadilika kwa ngozi nyeupe za asia na waarabu.
Wakati nilipotembelea mkoa wa Yunnan moja ya mambo ambayo sitakuja kuyasahau ni kupita katika eneo maarufu la Chai ya Pu’erh. Katika safari yangu ya treni wakati natoka Kunming mji mkuu wa mkoa wa Yunnan kuelekea Xishuangbanna, tulipitia kituo kimoja kiitwacho Puer. Mji huu wa Puer ambao upo...
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika.
Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa.
Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa mtandao na kuminywa kwa Uhuru wa kujieleza Mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya "Freedom of the Net"...
Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo.
Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine.
Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.