Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.
Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
Nakuandikia ujumbe huu kwa nia ya kuonyesha hisia zangu za dhati na pongezi kubwa kwako. Hakika umekuwa kielelezo cha mwanamke shujaa, mwenye akili nyingi, msimamo thabiti na uzuri wa kipekee uliopambwa na ujasiri mkubwa.
Usimamo wako na uwezo wako wa kujibu maswali kwa umakini na weledi mkubwa...
Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation
Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them
Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number
Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, anayeijua ccm na serikali na viongozi wastaafu na wapinzani...
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini.
Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
Anonymous
Thread
arusha
michango
mmoja
moyo
mwaka
mwaka mmoja
nssf
yangu
zaidi ya
A laboratory technician at Lugoba Health Centre III in Moyo District has been charged with obtaining money by false pretence after allegedly collecting millions of shillings from people seeking government jobs.
Amegovu Richard was arraigned in court on Wednesday following investigations by the...
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa...
“Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.
Minyororo hiyo ni hisia.”
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka leo, kitanigharimu nini kesho?”
Ndiyo maana mtu anaweza kujua kabisa kwamba jambo fulani linamuumiza...
N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua.
Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
Nianze kusema kwamba kuna wanawake wanajua kupenda na huu sio uongo.
Binti nilipomsogelea na kuzungumza nae akacheka sana kisha ndani ya maongezi yetu ya dakika zisizozidi 10 akanifanyia jambo moja la upendo wa pekee sana.
Wanawake wote wenye upendo wa Agape muishi miaka mingi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa...
Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea.
Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu.
Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
Zingatia: Furaha ya kweli 📌
Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa raha ya muda, si utulivu wa kudumu.
Pesa ni muhimu. Zinatoa uhuru wa kuchagua, zinatatua changamoto...
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu.
Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe.
Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe.
Mimi binafsi...
Anasema,
Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua
Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua
Haki ya Mungu lile likenge lingeniua
Si angesema ka -anauza ningenunua
Oya Mr. Dj
Nipoze moyo Dj
Ongeza sauti Dj
Nitakutunza Dj
Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli
Naomba kufahamu jina...
Tuanzie na mpango kwanza halafu tunaingia kwenye utekelezaji
Lengo kukutana na watu 1,0000 Tanzania bara yote wilaya 184 na Kila mtu akupe TSh 10,000.Jumla itakuwa ni TSh 100,000,000.
Sasa Tanzania Bara ina wilaya takribani 184. Ukigawanya watu 10,000 kwa wilaya 184 unapata wastani wa watu...
Full text:
Ticha Mashamba: Sawa, Leo tuna sayansi na teknolojia kubwa sana tofauti na zama zako.
Yesu: Na bado Kuna vita, njaa, hofu, Mashaka, upweke, magonjwa na matatizo chungu nzima.
Ticha Mashamba: Kwa hiyo maendeleo hayajatatua Kila kitu?
Yesu: Maendeleo yametatua mengi, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.