Lucius Domitius Aurelianus,
Hili ni jina kubwa mno kwenye historia ya dunia: Huyu alikuwa ni jemedari mahiri kabisa wa vita (Impeator) na baadaye akaja kuwa mfalme wa bora wa Dola la Roma (Caesar). Wengi humkumbuka kama The Emperor Who Saved The World, japo alitawala kwa miaka mitano tu na...
Kutoka Maktaba: Alisema Dkt. Emmanueli Nchimbi, punde baada ya kutangazwa kuwa Katika Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo mwezi Januari, 2024
Naona alichokisema kimetimia! Msimamo ndio silaha muhumi zaidi kwenye maisha Mzee wangu
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa.
Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi.
Rais Mstaafu Tanzania Benjamin William Mkapa alifika mbele ya mahakama akiwa ni shahidi wa kwanza upande wa utetezi katika mashataka...
My Take
Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi 😂😂👇👇
https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa kiongozi huyo alikuwa binadamu na alikosea, hivyo kumkosoa ni kuthibitisha ubinadamu wake.
Kumbukizi:
Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano.
Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
Hii ni kumbukizi ambayo natamani kusherehekea nanyi wana JF. Hili ni tukio binafsi lililonikuta miaka 15 iliyopita. Nitasimulia kwa ufupi nanyi mjifunze kitu, pia hata kama utakuwa unanifahanu au urahisi mi ni nani, acha haya mambo hukuhuku mtandaoni.
Nikiwa nimemaliza chuo kikuu kimoja hapa...
Dodoma, Aprili 11, 2026
Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
Guys guys
Aliyesema mwogope Mungu na Technology alikuwa ana maana kubwa sana.
Vijana wa CCM wakipata vyeo huwa wanajisahau sana.
Msikilizeni huyu naye.
Tunaanza Upyaaaa,
Mpango aidha atoe hela au ajiuluzu, asipotugea daraja wabunge wa Kusini tunaadamana, varangati la gesi kusini linarudi tena, yaani Tunaaza Upyaaaaaaaaa
Pia soma: TANZIA - Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia
Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.
Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege,
Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
Wakuu,
Mambo yanabadilika sana
Huyu hapa Profesa Lipumba akiwa anamsifia na kumwimbia Rais Samia kwenye ziara ambayo Samia aliyoifanya mwaka 2022 mkoani Tabora
Pia Soma
Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini.
Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo.
Oktoba 29 haisahauliki. Anaesema tusiongelee akapimwe akili.
Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.