watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna upendo sana, lakini tunaowaonesha upendo hawatujali

    Wakuu Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

    Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar.. Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama. Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80. Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Watawala wametoa pole kwa Wicknell Chivayo lakini wameshindwa kutoa pole ajali iliyoua Watanzania 30

    Mkitaka kujua hakuna Mtawala anayewapenda Watanzania, utawagundua wakati wa matatizo. Kuna mtu mmiha wa huko Zimbabwe kafa sijui na mie wake, kila Kiongozi wa Tanzania kuanzia anayejiita Rais na wanaojiita Mawaziri wanamlilia hadi wanadiliki kwenda kuzika. Lakini Morogoro ajali ya Magari imeua...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Polisi ni mali ya Nani? Kabudi Vs Chacha.. Watanzania wanawatizamaaaaaa

    .
  7. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini ni rahisi sana kuwatapeli watanzania?

    nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Watakapo tuacha tukichinjana kisa dini, wao watakuwa juu na helicopter wakisepa. KUWENI MAKINI WATANZANIA.

  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  15. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Kama unajua tupeni maelezo
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba tumefungwa 1 bila na Polokwane huko. Tusiwadanganye tumedrw Watanzania

    Maumivu yaanaendelea Baada ya stars kula 5 bila Morocco.. wanaume wwma msimbazi Tumepigwa kamoja huko bila kanaumaa lakini ndiohivyo
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu. Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli. Wananchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  20. K

    JamiiForums Tanzania Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Uganda) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵

    Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵 Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu Necessary, akituvua nguo sisi Watanzania kwa dhihaka na dongo la kimkakati. Jamaa anasema ukiangalia...
Back
Top Bottom