nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Unakuta member anatunga uzi "SASA NIMERUDI" kwamba yeye ni special mlikuwa mume-umiss uwepo wake kumbe alikuwa anacheka na nyie na maparody yake😁

    Ila JF , nani kama JF, tunaendelea kuburudika
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa, unajua nyie ni vichwa ngumu!

  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tafakari:Hivi hawa waliotuzudi kila kitu wakasema nyie mje kwao alafu wao waje afrika.

    Nasikiliza nyimbo ya DJ yusufu :"maisha mazuri yako mbele kwa mbele". Tumepewa kila kitu afrika lakini tumeishia kuwa maskini
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wasomi wa JF, ina maana Text books zitatoweka with the advent of AI and use technology in teaching

    Nangalia CGTN Professor ana shelves nzuri za textbook akihojiwa kuhusu modern transport between Jakarta and Bandung ambapo safari ya saa 3 imefupishwa na kuwa 46 minutes with Rapid trains. Sasa kwenye teaching in classrooms itakuwa sahihi kutumia njia za "mkato".....AI, and other techs ..etc etc...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

    Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wadada, Nini Kinawavutia kwa Mwanaume Hasa?

    Unajua kwa sisi wanaume ukishaona tu makebo na cruvy body na chuchu dede tayari. Je kwa upande wenu huwa inakuaje? Maana unaweza ukawa handsome ila ukakoswa swaga, ukakosa uterezi, alafu kanakuja kadude ka ajabu kana vibweka na vichekesho then unaambiwa kanaitafuna ile pisi mpka unakaa...
  7. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  8. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaohangaika na Dini ipi ya kweli sijui dini ipi nzuri jifunze hili.

    Ndiyo, hili ni swali kubwa sana la kijamii na kihistoria. Lakini kuna jambo moja muhimu: si sahihi kulifanya kuwa “Waafrika dhidi ya wazungu” pekee. Tatizo kubwa ni kwamba Afrika imekuwa na changamoto katika kujenga mifumo inayozalisha na kueneza sayansi, teknolojia, mitaji na taasisi imara kwa...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Madereva kumbe na nyie mnamchukia rais aliyejipa madaraka huko porini?

    Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Makonda na BASATA: Dudubaya sasa ni talk of the world. Fungieni na hii video kama nyie vodume

    YOU BERA WACH YUA BAACK, HALI NI MBAYA
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nyie TMA elininyo ni Tanzania tu au na majirani zetu wataloa?

    Jibuni swali langu, maana naofia huyo elininyo inavyotangazwa yaweza kuwa gharika kwa Tanzania baada ya dhambi za kuteka watanzania na kuwaua. You bera watch your back
  12. fact only

    JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Wanawake na wanaume wanaoshiriki kwenye filamu za ngono hawana tofauti sana na baadhi yenu; tofauti ni kwamba wao hurekodi video na kuziweka hadharani. Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15. Vivyo hivyo kwa kijana wa kiume mwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenu nyie moderator nisaidieni kuifuta acount yangu ya hii ya jf.

    Imani ya dini yangu inanizuia sasa kujihusisha na siasa sitaki tena kuchangia chochote cha kisiasa nimefuta acount zangu zote za mitandao ya kijamii bado hii tuu naombeni munisaidie kwa maslahi ya imani yangu nayo muifute. Nataka kujiweka karibu na imani ysngu sitaki tena siasa na nitoe...
  14. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Wakristo tambueni kuwa hakuna dini inayowatambulisha. Zinaoitwa dini nyingi zililetwa kwa itikadi ya siasa na kujitenga ila nyie ni wafuasi wa Yesu

    Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama dini, hapana, walichowahimiza nyie ni kufuata ya njia ya Bwana Yesu Kristo. Hizi zinazoitwa dini na...
  15. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  16. fact only

    JamiiForums Tanzania Mtakufa nyie, mie nitawazika

    Hellow wana JF. "Siumwi, sina kichomi wanao niombea mabaya watatangulia wao mie nitashiriki mazishi yao". JK.
  17. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ila nyie, tumetoka mbali...😂🙌

    Hivi yuko wapi siku hizi?😂
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
Back
Top Bottom