bidii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaofanya kazi kwa bidii bado wanakufa maskini?

    Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia. Kufanya kazi kwa bidii peke yake hakujawahi kuhakikisha utajiri. Jasho peke yake halijawahi kutoa uhuru. Jitihada peke yake hazijawahi kumkinga mtu na umaskini. Watu wengi wanafanya kazi kila siku… Lakini wanastaafu wakiwa hawana kitu...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Soma kwa Bidii, Maliza shule maisha yakuchanganye: Ukweli Ambao Wengi Hawakuusema Wazi

    Shule inakupa maelezo. Maisha yanakupa ufahamu. Ukichagua kimoja tu, utaishia kuchanganyikiwa. Kwa Nini Hili Ni Muhimu Wengi wetu tulifundishwa kufanya jambo moja tu: kuwa mtoto mwema kufuata sheria kupata alama nzuri kubaki salama kusubiri “baadaye” Halafu “baadaye” ilipofika, ilionekana...
  3. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mzize, ongeza bidii kujifunza

    Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wachina na Wahindi hawasambazi dini KWA bidii kama Waarabu

    Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu. Sababu ni nini?
  5. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Tutie bidii kujifunza Kingereza, lakini tusikidharau Kiswahili chetu

    Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya kufika Kampala kwa muda mfupi, lakini safari hii nimepata uzoefu mpana zaidi. Japo kuna boda boda na...
  7. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya wafanyakazi kwa bidii

    Hii jamii ya hawa watu ni wanafanya kazi kwa bidii kubwa unaweza jiuliza miili yao haina hali ya kuchoka. Ni nini shinikizo lililo nyuma yao katika ufanyaji kazi kwa bidii ya hali ya juu. Si ajabu kuona maendeleo ya kasi isiyoelezeka ya nchi yao hasa katika miundombinu. Wachina ni wafanya...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyingine ya wiki?

    Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau: Kusoma kwa bidii ni kuishi kwenye ndoto zako

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki Mahafali ya kidato cha sita Shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo Kinampanda Wilaya ya Iramba akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo. Katika mahafali hayo, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliambatana na wageni mbalimbali...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, kuwa mkakamavu na mwenye bidii ya kutafuta

    Ukiwa mvivu, mlegevu na asie na bidii, maarifa wala kujituma katika kufanya kazi, kila kitu kwako utaona kimekosewa, kina makosa, dosari au kasoro nyingi sana... Utaishia kulala sana magetoni nyumbani na ukiamka utakunywa chai ya mama na kuanza kulalamika tu, kulaumu, kughadhabika na kuhemka...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Ukifuatilia wengi wao hakuna biashara wanazofanya na hata wanachohamasisha ni copy & paste kutoka google na vitabuni. Hawa watu hawahitajiki. Ni upuuzi wa hali ya juu kumlipa pesa Motivational speaker ili akuhamasishe kufanya biashara. Matatizo tuliyo nayo yanatosha kutuhamasisha kupambana...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na BoT

    Na Eva Valerian na Asia Singano Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama biashara/Ajira inakunyima muda wa ibada bado ni masikini, Ongeza bidii na umaridadi wa akili yako.

    Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi. Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato. Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
Back
Top Bottom