Salaam Wakuu,
Naomba Dr. Emanuel Nchimbi mumuache afanye kazi. Kwanza udaktari wake wa kusomea so aheshimiwe.
Msimuingize kwenye ugomvi wenu na Ufisadi wenu..
Ameishi kwa heshima kwa kuheshimu wakubwa na Wadogo..
Uroho wenu wa madaraka usiwafanye mumchafue kisa yeye anawalazimisha kutenda...
Aweeee,
Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa!
Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Kama kichwa cha habari kilivyo, kuanzia tarehe tajwa, najihisi Mtanganyika. Napanga kuuzika utanzania wangu.
Je Watanganyika wenzangu mnapitia ninachopitia?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama wewe ni Mtanganyika ni wajibu wako kuikomboa inchi yako, hata kama chawa, haya unayoyaona utakuja kuyalipia baada ya Tanganyika kukombolewa, maana saa hizi tunatawalia na familia ya Samia Suluhu na baadhi ya Viongozi walioko Serikalini wakiongozwa na...
Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania..
Inanifanya nijihisi karibu zaidi na asili yangu , chimbuko langu, wazee wangu na watu wetu wazuri ..Kila...
Nazani kama kichwa cha habari kinavyoonyesha inasikitisha sana kwa yanayoendelea Tanzania,sikuwa kuamini kama Viongozi wa inchi pamoja na jeshi la polisi wanaweza kusimamia mauaji dhidi ya raia zao hata kama wananufaika na rushwa ndani ya hiyo serikali,hata Magufuri alikuwa dikteta lakini...
Amerudi nchini kwake rasmi na atamalizia kampeni zake huko.
Halafu wewe mtanganyika umebaki nchini kwako ukiwapiga ndugu zako watanganyika kwasabb ya kulinda madaraka "yake".
Hebu tuweni na uchungu wenye wivu juu ya nchi yetu Tanganyika ili waifaidi watanganyika.
Sisi tumegeuzwa mateka na mtu...
Tanganyika imefifia na itazidi kufifia.
Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika
Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani.
Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu).
Watu walikuwa hawapotei hovyo, anasema yule bwana alikuwa hataki kuona watu wanapotea potea na alishawahi utoa...
Tumepigwa sana Watanganyika
Itoshe kusema, tunahitaji kuungana watangayika kuitetea Tanganyika yetu na kukemea dhuluma kwa watangayika wenzetu popote pale walipo
Hebu tuweke kwanza mapenzi ya vyama pembeni,
Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mzalendo aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni mwake na sisi sote ni mashahidi kwa hilo
Lakini baada kufa kuna Viongozi wamekuja hawana hata uchungu na Tanzania bara,wamejaa porojo wameuza rasilimali zetu alizozipigania...
Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala
Naona Sasa Watanganyika tumejisahau
Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa...
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
afrika
bara
hoja
kusikia
mikwara
mpinzani
mtanganyika
nyerere
polisi
rais
rais wa tanzania
rais wa zanzibar
siasa
siasa za afrika
tanzania
tanzania bara
tatizo
usa
utamu
zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.