kuna wasanii kwenye mziki, filamu etc walikuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine lakini kwa sasa ni kama washakufa.
Mfano
Ben kwa kanumba
Kr mullah kwa wanaume tmk
na wengine.
Je hii inatufunza nini?
Tunapopata shavu ya kutembelea nyota za wengine ni muhimu kujifunza pia ili kuwa na...
Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu.
Kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa. Wapo wanaowahi kufika kwenye mafanikio, na wapo ambao safari yao huchukua muda...
Hapo ulikuwa una 80% ya kulishwa mavitu vya kishirikina, kuchapiwa mtaani, kulea watoto sio wako, vikao vya mara kwa mara vya ugomvi wa mke na mawifi au mama na ilikuwa unakufa mapema sana.
Pia ni wanawake walikuwa wanasifika kwa kuvunja ndoa za watu, wenye visa sana na wepesi sana kurukishwa...
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
1. Julius Nyerere
Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza..
Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali
10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu.
Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?.
Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake.
Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano.
Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko...
Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida!
Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa.
option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao.
wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
Karibu yote waliokuwa wanasema Chadema sasa Watanzania wanathibitisha
1. Kwamba CCM hawawezi kushindana
2. Kwamba kura zinaibiwa
3. Watu wa Mama ndiyo watekaji
4. Nchi imeuzwa kwa wana mtandao
5. CCM ni chama cha kifamilia
Kama hukubaliani na hayo elewa kwamba wewe ni kilaza. Bila reform...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi.
Operesheni...
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.