Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Siku za karibuni Kuna mfumuko mkubwa wa mada za kidini ukizifuatilia utagundua hazina mana yeyote zaidi ya kuchafuana na kubezana. Sisi ni wastaarabu hebu Kila mtu abaki na imani yake.
Kataa kujadili maswala ya dini. Dini yako hawezi kuleta chakula mezani zinduka.
Usijalaumu kwa kuchelewa
Usijalaumu kwa kusemwa
Usijalaumu kwa kupitwa
Usiogope kushindwa
Sio lazima uwe tajiri kwa njia yoyote ile.
Sio lazima uwa lidhishe watu kwa namna yoyote ile.
ishi na asili, usiishi ya watu
Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, Asagwile Mwasongwe, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mjadala unaoendelea wa ushirikiano wa kimuziki kati ya wasanii wa dini na wale wa muziki wa kidunia (secular).
Katika video aliyorekodi na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, Asagwile ametoa...
Wakuu, hebu tuwekane sawa kidogo. Nimeona video moja mtandaoni huko facebook naamini ilikuwa ya mwishoni mwa mwezi wa nane maana sijatumia facebook muda mrefu kidogo.mtoto mdogo wa kama miaka saba analia sana kwa sababu amefaulu vizuri darasani lakini hajapewa zawadi kama wanafunzi wenzake...
Yani
Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa.
Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe.
Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano.
Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi...
kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa.
kama unakera jua unakerwa pia.
je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k.
YANGU:
UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE .
UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu.
Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma.
Je atashindwa kuzuia isije ni yeye mwamba kasema..
Anthony Lusekelo
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi.
Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
Weee mzee Herbalist Dr MziziMkavu nimekerwa sana na bandiko lako la udhalilishaji wa dini ya Kikristo haswa dhehebu Katoliki.
Umetumia picha ya kutengenezwa kuwadhalilisha watawa na makasisi wa kanisa Katoliki.
Hata sisi tuna uwezo wa kutengeneza picha za madudu aliyofanya Mwamedi, kama kuoa...
chocolate colour,
Tumbo halina nyama nyama,
Kimo cha wastani,
Makebo malaini,
Awe na feelings kali wakati wa sex ili nimketekenya kunani amwage hydro ya kutosha
Shape hourglass,
Asiwe na dharau,
Asiwe na kisirani
Maziwa mazito ili niwe naweka uso wangu na rotate kichwa
Kwa bahati mbaya hizi...
Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego.
Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua.
Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji.
Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti.
Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
Habari za muda huu wana-JF,
Kila siku humu jukwaani tunajibishana kwa Kiingereza na wengine tunajiita ma-expert wa lugha ya Malkia. Leo nimeamua kuleta kipimo cha kweli.
Kama unajiamini yai halikupigi chenga, jaribu kupambana na hayo maswali ya kiingereza bila kutumia Google wala AI. Kwa...
Kuna vijana wengi wanajifanya ni timu BIKIRA.
Ukweli ni kwamba, sahivi hakuna kijana ambaye ni timu BIKIRA.
Vipi utajiita timu BIKIRA wakati una demu kila uchochoro,ajabu unatongoza hadi wake wa watu.
Huyo binti unayemchanyata kila siku anafikiri ni nani atakuja kumuoa, kumbuka malaya wa kiume...
Ili uelewe hiki ninachokiandika, kwanza elewa majukumu ya DCI (Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya jinai) ndani ya Jeshi la Polisi ambaye kwa sasa ni huyo hapo kwenye picha Ramadhani Kingai...
MAJUKUMU YA DCI
Kusimamia Upelelezi: Kuongoza, kuratibu na kusimamia shughuli zote za kiupelelezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.