Changamoto za kimaisha, kama magonjwa, Migogoro, kupoteza kazi, biashara kuyumba, usidhani vinatakiwa kuwatokea watu flani pekee, au ukafurahia sababu huwapendi au una tofauti nao
It can happen to anyone, hata wewe
Tutakiane kheri kwenye mapito yetu.