tma

In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Eti TMA hawaamini El Nino imesepa!

    Mitandao bhana, shida tupu!
  2. M

    JamiiForums Tanzania TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

    Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania TMA: Hali ya El Nino inaweza kuendelea hadi mwaka 2027

    Hahaaa hii inaitwa force kingi hadi mtaelewa tu, nani kakaona kekundu, narudia tena ukiweka hapa na hapa unaliwa kekundu haka hapa. 😎😎😎😎 ============= Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a, amesema hali ya El Niño inaweza kuendelea hadi mwanzoni mwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    .....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama. Rubbish!
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua zanatarajiwa kunyesha kwa siku 10 katika mikoa 25 kuanzia leo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri vipindi vya mvua katika baadhi ya maeneo ya mikoa 25 nchini katika siku 10 zijazo, huku maeneo mengine yakitarajiwa kuendelea kuwa makavu. TMA imesema katika kipindi hicho, mifumo ya shinikizo la juu la hewa iliyopo kaskazini mwa dunia, ikiwamo...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TMA yathibitisha El Nino, mvua za awali zimeanza

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba. Ofisa Habari wa TMA, Ramadhan Omary katika taarifa yake Jumapili, Septemba 27, 2026, kwamba El Niño tayari imejijenga na...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nyie TMA elininyo ni Tanzania tu au na majirani zetu wataloa?

    Jibuni swali langu, maana naofia huyo elininyo inavyotangazwa yaweza kuwa gharika kwa Tanzania baada ya dhambi za kuteka watanzania na kuwaua. You bera watch your back
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

    Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli Hii taasisi siiamini Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji Hakuna Elnino wala El konyo
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ukungu wawa tishio Njombe, TMA wawaonya madereva

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele. Akizungumza na Mwananchi Digital...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TMA: October kuna mvua za El Nino zinakuja

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kuhusu uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa zinazohusishwa na hali ya hewa ya El Niño kuanzia Septemba na kuendelea hadi Oktoba, Novemba na Desemba 2026, huku athari zake zikitarajiwa kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2027. Akizungumza na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BASATA yatangaza kuahirisha utoaji wa tuzo za muziki (TMA), zilizokuwa zitolewe leo tarehe 13.12.2025

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi kuahirishwa kwa hafla ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2025, ambayo mwanzo ilikuwa imepangwa kufanyika tarehe 13 Desemba 2025. Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya BASATA, imeelezwa kuwa uamuzi wa kuahirisha...
  13. W

    JamiiForums Tanzania TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua hazitaendelea kunyesha, Wananchi wachukue tahadhari ya Hali ya ubaridi mkali

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya Hali ya Hewa haioneshi uwepo wa mvua hivi karibuni hapa nchini badala yake kutakuwa na ukavu na ubaridi ambapo Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari za kujilinda na baridi. Meneja wa Utabiri wa TMA, Dkt. Mafuru Kantamla amesema mvua...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Meteorologist II – 10 Post at TMA May 2025

    POST METEOROLOGIST II – 10 POST EMPLOYER Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) APPLICATION TIMELINE: 2025-05-27 2025-06-09 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To perform Meteorological, Agrometeorological, Hydro Meteorological, and Environmental analysis; ii...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Meteorological Officer II – 3 Post at TMA May 2025

    POST ASSISTANT METEOROLOGICAL OFFICER II – 3 POST EMPLOYER Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) APPLICATION TIMELINE: 2025-05-27 2025-06-09 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in the supervision of data collection for analyzing meteorological data and charts; ii. To...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa utabiri msimu wa kipupwe 2025, yatahadharisha baridi na upepo mkali

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa wastani utakaovuma kutoka Kusini Mashariki kwa maeneo mengi ya Nchi pamoja na vipindi vichache vya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania TMA kitaalamu hii mnaielezeaje

    Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?
  19. R

    JamiiForums Tanzania TMA twambie kwanini mpaka sasa Tanga hakuna mvua ya maana ya masika

    Tunaingia mwezi wa nne sasa. There is nothing at all! Hakuna.mbua kabisa, ni manyunyu manyunyu tu. Tatizo ni; nini? kwa utabiri wenu?
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMA yasema ongezeko la mvua linatarajiwa Aprili 2025

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imesema kwamba katika msimu huu wa mvua za masika, kunatarajiwa ongezeko la mvua katika mwezi wa Nne mwaka huu 2025. Akizungumza na Torchmedia ofisini kwake jijini Dar es Salaam, mchambuzi wa hali ya hewa kutoka TMA, Joyce Makwata, amesema kwamba...
Back
Top Bottom