utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    JamiiForums Tanzania Watu walipotea au kufa kwa utata chini ya utawala wa CCM toka 2010-2026

    Wote Hawa ni either waliuwawa, walipotezwa au kufanyiwa umafia toka mwaka 2010 1: Mwangosi 2: Deo 3: Akwilina 4: Ben Saanane 5: Lwejabe 6: Mdude 7: Mawazo 8: Pole pole 9:Mhagama 10: Soka 11: Ndungai 12: Lowassa 13: Mahinga 14: Kijazi 15: Mfugale 16: Mfugale 17: Membe 18: Magufuli Hawa wote...
  2. Scars

    JamiiForums Tanzania Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Ni siku moja baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya Taifa katika soka la kimataifa. Look what humble Messi posted on his IG page. Now imagine kama hii ingepostiwa na Ronaldo.
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Utata wa Jina David Kameta Duchu apasuka

    https://www.instagram.com/reel/Dcs2T6PJexM/?igsi=MXI0NWozdzNobm90aw==
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Utata wa "identity" wa shahidi wa Jamhuri waibuka mahakamani. Inasemekana huyu Jina lake halisi ni Peter Jumamosi na sio Amin Mahamba...

    Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP. ================= Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
  5. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

    Mitandao ya kijamii imesheheni madai yanayodai kuwa nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, amefungua talaka dhidi ya mke wake Shireen baada ya kile kinachodaiwa kuwa matokeo ya kipimo cha DNA. Hata hivyo, Sasa hakuna ushahidi au taarifa kutoka kwa vyombo vya habari...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Utata wa Tomato

    Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga Mimi nitajikita kwenye suala moja; suala la tomato zinazowekwa kwenye chips. Ndiyo, tomato hizi hizi. Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa...
  8. gehaz makoga

    JamiiForums Tanzania Nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000

    Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000 Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kifo chenye utata cha Hayati Magufuli ndio chanzo cha CHADEMA kupata nguvu na kupendwa na Watanganyika

    Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM. Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyoona ambavyo vinanipa utata nikivifikiria hadi leo

    Nilivyokuwa shule ya msingi kulikuwa na tabia ya wasichana kuzimia, iliaminika wana majini, wengine walikua wanaoata hadi nguvu ya kusukuma watu wa kubwa na kuwaumiza, au kurusha madawati, au kukimbia hadi kwenye miti mikubwa ( mikuyu ) Nilichokishuhudia nachokumbuka hadi leo, kuna wasichana...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu na Muhammad walikuwapo, kwanini wanazua ugomvi na utata?

    Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbinguni kuna utata

    Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu. Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au tutapewa miili mipya? Hivi mtaa wa jehanam nao upo mbinguni ama jehanam tunakutana nayo wapi? Na...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo

    Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

    Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa. Mkuu wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

    1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Utata: Pumzika Job Yustino Ndugai

    “Alikuwa na afya njema na tulipata naye chakula cha mchana. Alikuwa mcheshi sana. Siku moja tu akapoteza fahamu, wiki moja baadaye – baada ya kumpeleka hospitali akawa marehemu.” Mnamo tarehe 12 Aprili 1984, taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi makubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...
  18. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki utata kazi kwa wageni na wazawa

  19. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

    Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana Swali kama ilo naona la kiwaki balaa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Utata wa kanisa la Arise and Shine. Je, linatumia usajili wa Calvary Assemblies of God(CAG)?

    Kanisa la arise and shine ni la muda mrefu sana tangu nianze kulifahamu chini ya Muhubiri Mwamposa, lkn usajili wake mpaka sasa sijaelewa kabisa, je lipo chini ya usajili gani? Na nani mmiiki wa hili kanisa? Naombeni kwa wajuzi mnijuze. Pia soma >> Nani anawajua Wajumbe wa Baraza la Wadhamini...
Back
Top Bottom