wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Zilipendwa: Historia, Maudhui na Ujanja wa Kisiasa Nyuma ya Wimbo "Nakei Nairobi" (1984)

    Habari za muda huu Wana JamiiForums! Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Wimbo: "Truth in the World" (No Truth in the World) – Lucky Dube

    Wakuu, salamu! Karibu kwenye mfululizo wa makala zetu za uchambuzi wa kazi za sanaa zilizotikisa na kuacha alama duniani. Leo kwenye jukwaa hili, Wahenga tunawarudisha miaka ya nyuma, tunamtazama mmoja wa magwiji wa muziki wa Reggae kutoka barani Afrika ambaye nyimbo zake hazitachuja kamwe...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Audio ya wimbo wa Usia wa Baba

    Kuna wimbo unaitwa Usia wa Baba ,umeimbwa na Seif Kisauji naomba mwenye audio yake tafadhali. asanteni sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Siri, maumivu na tiba ya kisaikolojia nyuma ya wimbo "Sexual Healing" wa Marvin Gaye

    Wakuu, habari za wakati huu. Leo naomba tuangalie kidogo upande wa pili wa sarafu wa moja kati ya nyimbo za R&B na Soul zenye mvuto mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani—wimbo "Sexual Healing" wa maestro Marvin Gaye, uliotoka mnamo Oktoba 1982 kwenye albamu ya Midnight Love. Kinyume na maoni ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "nipo tayari" tangazo la voda umeimbwa na Msanii/Wasanii gani?

    Wimbo unanivutia kusikiliza, natamani kujua umeandikwa na kuimbwa na Msanii/Wasanii gani?. Anayejua anijuishe tafadhali.
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Michael Jackson aliwezaje kukutanisha mastaa wa Hollywood wa miaka ya 1980 katika video ya wimbo wake wa Liberian Girl?

    Wakuu leo ni jumapili, Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele. Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson. Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake. Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi...
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

    Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sea ulioimbwa na Babu Sea Ulimlenga nani?

    Huu wimbo hauchujagi, mzee aliuimba kwa hisia sana, inaelekea huyo sea alikuwa mtundu sana. Je, Sea ndiyo jina la mhusika kweli au alikuwa kamlenga manzi mwingine, je ni nani huyo aliyesababisha tupate utunzi huu matata kabisa? Siamini kama wimbo huu aliutunga tunga tu, ni lazima alipata...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo ASANTE by CHRISTINA MBILINYI

    Wakuuu habari za saizi Samahani natafuta audio au video ya wimbo wa uyu dada anaitwa Christina Mbilinyi inaitwa "Asante Jehova". Lyrics zake ni kama ... Moyoo wanguu Hatuwezi kunyamaza Yake ulonitendea , yananitoa machozi Asantee asantee asantee Jehovah...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana aliye Piga Base Guitar ya Wimbo wa Lango Nimemnyoshea Mikono

    Wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema Gospel Choir. Wimbo wenyewe asili yake ni Tenzi za Rohoni, lakini hawa jamaa wameupa uhai mpya wa aina...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh600K Brand Deal Yageuka Copyright Battle: Foi Wambui Abaki Kortini kwa Kutumia Wimbo wa Mutoriah

    Brand deal ya Sh600,000 sasa imegeuka kuwa kesi inayoweza kubadilisha namna Kenyan content creators wanavyoshughulikia music katika paid advertisements. Actress na content creator Foi Wambui ameshindwa katika jaribio lake la kuondolewa kwenye kesi iliyowasilishwa na musician Mutoriah, anayesema...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa wimbo "Dje Melasi" (T.P. OK Jazz): Shule ya Rumba, Utunzi wa Mose Fanfan na Sauti za Dhahabu za Youlou Mabiala

    Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)! Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tuambie hali ya mahusiano yako kwa kutumia kipande cha wimbo

    Kwa upande wangu mimi kipande cha wimbo kinachoelezea mahusiano yangu hiki: May be this love not for me........ I'm single....I'm Single again by Konde boy Wewe Je?
  15. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua wimbo huu unaitwaje

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HUu ndioo wimbo wetu "SELE DAY"

    DJ NIPEEEE WIMBO WA UNAWEEEZA KUFANYA UNAWEZAA KUTENDAAAAA MAMBOOO MAKUBWAAA ZAIDII YA NIOMBAVYOOO HUU NDIO WIMBO WETU JAMANI SELE DAY
  17. aise

    JamiiForums Tanzania Pita Msechu ameshatoa wimbo kufuatia kifo Cha Mume wa Rais?

    Ambao mko karibu na vyanzo mnipe jibu
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mada: Uchambuzi wa Kina: Wimbo wa "Mary Maria" wa Vijana Jazz Orchestra (Mtindo wa Pamba Moto Awamu ya Pili)

    Habari za muda huu wana-JamiiForums na wapenzi wote wa Muziki wa Dansi (Zilipendwa). Leo naomba tuutazame kwa jicho la kiweledi wimbo wa "Mary Maria" ulioimbwa na bendi mashuhuri ya Vijana Jazz Orchestra (Wana Pamba Moto). Wimbo huu ulirekodiwa mwanzoni mwa miaka ya 1975 katika studio zetu za...
  19. Mkuna mgongo

    JamiiForums Tanzania Naomba wimbo huu tafadhali

    Sultan king ft Mr Blue- Unanitosha Natanguliza shukurani zangu
  20. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa maneno kati ya "Warmly welcome & Most welcome" na Celebrate & Enjoy" kwenye wimbo "Home boy wa Civilian-Coin"

    https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=O5Lb8BTks6Wrp8QD
Back
Top Bottom