zuchu

Zuhura Othman Soud (Zuchu)
Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)

Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"

She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Zuchu kamchamba sana Mama Dangote kwenye 40 ya mwanaye

    Nilivumilia sana kutoipost hii habari lakini mmmmmh hapana kwa kweli acha tu niseme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Haihitaji uwe na degree au masters kujua kile kichambo cha Zuchu kilikuwa kinamlenga mama dangote. Kwanza chaguzi tu ya wimbo na namna alivyoimba kihisia ni jibu tosha kwamba lile dongo lilikuwa la...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Esma Platnumz Afichua Tabia ya Zuchu Akigombana na Diamond: "Anablock Familia Nzima Ya Wasafi"

    Dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Esma Khan (Esma Platnumz), amefunguka kuhusu tabia ya msanii Zuchu pale anapokuwa na tofauti au migogoro ya kimapenzi na kaka yake, Diamond Platnumz. Akizungumza kuhusu mahusiano ya wawili hao na jinsi yanavyoathiri watu wa karibu, Esma ameeleza kuwa Zuchu...
  3. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania "Imekuwa Muda Mrefu Nilikuwa Namtaka": Maneno ya Tiffah Yaliyomtoa Machozi ya Furaha Diamond na Zuchu

    Tiffah Dangote, alipata fursa ya kutoa pongezi na kueleza furaha yake kubwa ya kupata mdogo wa kike baada ya kusubiri kwa muda mrefu. "Congratulations on the baby. Now I have a baby sister, it's been like a long time I wanted them. And I'm gonna play with her like all the time and I'll take...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Account ya mtoto wa diamond platinumz; Sandrah Naseeb , yafunguliwa jana tu lakini kashakuzidi followers

    Katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii, watoto wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, wamekuwa wakivuta hisia za mashabiki wengi pindi tu wanapozaliwa. Awamu hii, mtoto wa msanii huyo aliyezaa na msanii mwenzake wa WCB Wasafi, Zuchu, aitwaye Sandrah Naseeb, ameingia kwenye vichwa vya habari...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu

    Fahamu matukio mbalimbali yaliyojiri
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Zuchu na Diamond Platinumz atangazwa kuwa balozi wa GSM

    Mtoto wa wasanii nguli wa muziki nchini, Diamond Platnumz na Zuchu, ametangazwa rasmi kuwa balozi mpya wa kampuni ya GSM. Chapa ya GSM Beverages, imetangaza kumpa ubalozi mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz, Sandrah katika sherehe ya mtoto huyo.
  7. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz na Zuchu waonyesha sura ya binti yao Sandrah (Sanura)

    Wasanii Diamond Platnumz na Zuchu, wamezidi kuvuta hisia za mashabiki wao kufuatia hatua yao ya hivi karibuni ya kuchapisha picha mpya za mtoto wao wa kike, Sandrah Nasibu Issac. Tofauti na awali ambapo walikuwa wakitumia emoji kuficha kabisa sura yake kwenye mitandao ya kijamii, picha za hivi...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel: Zuchu kajifungua kwa upasuaji kama Wema, leo hii anakata mauno na hamsemi

    "huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto. Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mashalove alisema Zuchu na Gigy hawawezi kuwa pamoja, leo hataamini macho yake

    Tukio la Zuchu na Gigy Money kuonekana pamoja kwenye usiku wa hina limezua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa burudani na kuacha wengi wakiwa na mshangao. Kauli ya Mashalove kuwa wawili hao wasingeweza kamwe kukaa meza moja imegonga mwamba, kwani picha na video zinazowaonyesha wakiwa na furaha na...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Priscilla Kashakuwa Mswahili Wabongo Mtakoma; Aweka Historia Usiku wa Hina wa Zuchu, Akicheza Kibao Kata

    Mrembo Priscilla, ambaye pia ni mke wa mwanamuziki maarufu nchini Juma Jux, ameonekana akicheza Kibao Kata. Tukio hilo lilijiri kwenye sherehe ya Usiku wa Hina iliyoandaliwa na msanii Zuchu, sherehe iliyokusanya safu ndefu ya wasanii, staa na watu maarufu wa tasnia ya burudani nchini Tanzania...
  11. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya "free Juma Jux"; Hatimae Jux arejea Tanzania na kujumuika kwenye usiku wa henna wa zuchu

    Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania. Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
  12. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Unalipa asilimia ngapi uno la Nandy kwenye kibao kata cha zuchu siku ya henna

    Hivi ndivyo staa wa muziki wa bongo Fleva Nandy alivyopita na mdundo wa Kibao kata katika usiku wa Hinna huko madale ikiwa ni sehemu ya sherehe kuelekea 40 ya mtoto wa Zuchu na Diamond. Hapa uzungu umewekwa pembeni kidogo na jasiri akaamua kuifata njia ya asili yake.
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Usiku wa henna; Mama dangote na Khadija Kopa wafanya kweli kwa zuchu kuziba vijimaneno vya waja

    Katika kuonyesha mshikamano na kuvunja uvumi wa mara kwa mara kuhusu uhusiano wao, mama mzazi wa msanii Diamond Platnumz, Sanura Kasimu (Mama Dangote), pamoja na malkia wa Taarab Khadija Kopa na binti yake Zuchu, waliteka hisia za waalikwa baada ya kujumuika na kucheza kwa furaha ya pamoja...
  14. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wema, Zuchu, na Maua Sama, Ciara yeye atarajia mtoto wa tano

    Baada ya mastaa wa Bongo, Wema Sepetu, Zuchu, Maua Sama kupata watoto hivi karibuni, mwimbaji wa Marekani, Ciara (40) na mumewe Russell Wilson wanatarajia mtoto mwingine, ikiwa ni mtoto wa tano kwa mwimbaji huyo na wa nne katika ndoa yao. Ciara ametangaza habari hizi njema siku ya jana Jumapili...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuchukiwa na mama mjamzito?

    Zuchu ameweka wazi kuwa katika kipindi cha ujauzito wake alikuwa hampendi mume wake Diamond Platnumz kiasi kwamba hata akiwa amelala anatamani hata ampige kibao. Kupitia ukurasa wake wa Snapchat amepost video hii na kuandika "I hated him nilikua simpendi hapo kama nimtie kofi" Soma pia: Zuchu...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Ghafla taifa limehamia kwa zuchu na diamond sasa, yani mtaendelea kuchezewa akili kama tom and jerry😅

    Aliepo mitaa ya tabata, shukia hapa mi casa lounge , karibu
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Khadija Kopa: Nilimkanya Zuchu usitumie mwili wako kupata umaarufu

    Poleepolee utasemaa yoote mama mkweee Hivi lile gari walikupatia kadi ama ndioo ulikuwa usanii na nkkweoo 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 nchitamuhiii
Back
Top Bottom