mateka

Mateka is a settlement in Kenya's Bungoma County.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Kiroho: Kutekwa kwa Nafsi badala ya msukule

    Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku. Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...! hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Mungu inaniambia utashindana na Tanganyika ila hutoweza, watakuja wababe na ni suala la muda tu kisiwa kitakuwa mateka ya Tanganyika

    Leo sina salamu, siku hazigandi, wanaonizunguka wananichora tu, kuna siku kisiwa kitatawaliwa kibabe na Tanganyika kama Tawan, na hakutakua na namna, niyafanyayo mpaka vitukuu wangu watajutia sana. Cha msingi natakiwa hacha ubinafsi, muungano hautokufa bali utaboreshwa na haitakua kwa maombi...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwili wa mateka Ran Gvil wapatikana-Huyu ni mateka wa mwisho

    WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba: "Ninaamini katika kuja kwa Masihi!" Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na kuwapokonya silaha zao Rais wa Israeli Isaac Herzog: naye leo hii kasema; Ran Gvili, shujaa wetu...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa

    Kuendelea kuteka na kuuwa na kuendelea kuwashikiria watu mateka na kutofanyika kwa mabadiliko yoyote kutochochea maandamano mengine makubwa. Vitendo hivi wananchi hawavichukulii kama vitisho bali vinachochea moto na hasira lazima maiti ziachiliwe, mateka wote na wafungwa wa kisiasa waachiliwe...
  5. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

    Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania JWTZ mnakubali vipi kuwa mateka wa Mafwele?

    Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ Huyo bwana anajisifu ati hadi ana maaskari wa JWTZ na ukimskiliza ati wamechana picha ya mgombea wa CCM iliyobandikwa kwenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tayari Hamas imewaachia huru Mateka saba wa Israel na kudai kuendelea kuachilia wengine zaidi

    Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha Taarifa za kuachiliwa...
  8. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Israel ina teknolojia mbona walishindwa kupata mateka wao

    Wakati mwingine tunapigwa changa kwa kujazwa ujinga. Israel inaaminika iko juu kiuslama na kijeshi. Je ilikuwaje ikashindwa kuwaokoa mateka wake kwenye eneo dogo kama hili tena lisilo na nchi wala jeshi? Wazungu wamejua kututenda kwa kutujaza ujinga na woga.
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hamas wanataka kutema Bungo. Wasikubali waendelee kuwashikilia mateka tupo pamoja nao

    Hakuna kuwaachilia mateka. Kaeni nao tu.
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hamas kwa Netanyahu; Mateka wametawanywa ndani ya vitongoji vya Gaza, operesheni ya uhalifu inamaanisha kuwa hautapata mateka hata mmojo

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam: "Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hamas Yatishia kuwachinja Mateka Waisraeli huku wakiwaonyesha kwenye Kamera!!!!

    Hamas Yatishia Kuwachinja Mateka Waisraeli kwenye Kamera Katika taarifa yake ya kusikitisha leo, msemaji wa Hamas Abu Ubaida alitangaza kwamba Hamas iko "tayari ya hali ya juu" kwa uwezekano wa IDF kuingia katika mji wa Gaza - na kutoa tishio la moja kwa moja dhidi ya mateka wa Israel ambao...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

    Wanaukumbi. Abu Obaida: •Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners. •We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Familia yalaani, mateka Muisrael anayeteseka huko Gaza

    Familia ya mateka wa Israel Evyatar David anayeshikiliwa na Hamas huko Gaza imelishutumu kundi hilo kwa kumuua njaa kimakusudi kama sehemu ya kampeni ya propaganda. Taarifa ya familia hiyo iliyoitoa siku ya jana Jumamosi Agosti 2, 2025 imejiri siku moja baada ya Hamas kutoa video ikimuonyesha...
  16. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: MATEKA

    Baada ya kuona kuwa nyumbani kunanichosha jioni ile, nikaamua niende katika baa iliyokuwa mtaa wa nne kutoka katika nyumba niliyokuwa naishi. Pindi nilipowasili katika lango kuu la baa nililakiwa na sauti ya muziki wa ngwasuma ya Kikongo iliyokuwa ikirindima kutoka katika jukebox. Nilisimama...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha na kuwaachilia mateka wote

    Trump: Njia ya haraka ya kumaliza mateso ya Gaza ni Hamas kujisalimisha, kuwaachilia mateka Rais wa Marekani Donald Trump anasema kundi la kigaidi la Hamas linapaswa kujisalimisha na kuwaachilia mateka 50 linalowashikilia ili kumaliza njaa na masaibu mengine huko Gaza. "Njia ya haraka zaidi ya...
  18. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Duru zinasema kundi la Hamas limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel

    Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado kuna mkwamo kuelekea kufikiwa mkataba kutokana na msimamo wa Hamas wa kutaka Israel iondoe vikosi...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Israel yapata miili mingine mitatu ya mateka huko Gaza!

    Shirika la habari la Associated Press (AP) limesema kuwa Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa limepata miili mitatu ya mateka wa Tukio la Oktaba 7 huko Gaza. Miili hiyo ambayo mmojawapo ni wa mwanajeshi, bado Jeshi hilo halijataja majina Yao!
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hamas wamewaua Watoa Misaada 5 na huenda wamewachukua mateka wengine

    Habari kama hii hauwezi kuisikia ikipata promo coz aliefanya sio Myahudi
Back
Top Bottom