Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa.
Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli?
2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja?
3. Je...
Habari wanajamvi,
Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili.
Je, washibiki...
TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021
Utaratibu wa Kushiriki
Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache.
Alistabrus Elvis Musiba - kufa na kupona, Njama, Kikomo
Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili.
Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika.
Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
Geneva, Switzerland (AFP). Zaidi ya waandishi wa habari 600 wamekufa kwa ugonjwa wa corona tangu Machi 1, mwaka jana, taasisi ya kutetea uhuru wa vyombo vya habari imesema ikitoa wito kwa kada hiyo kupewa kipaumbele katika chanjo.
Taasisi hiyo, Press Emblem Campaign (PEC), ambayo hufuatilia...
Waandishi wa habari wapatao 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye kazi zao ndani ya kipindi cha mwaka 2020 kwa mujibu wa shirika la kutetea waandishi na vyombo vya habari duniani, Reporters Without Borders.
Kwenye mazungumzo mafupi kwa njia ya video na DW, mkuu wa Kamati ya Usalama wa Waandishi wa...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye Alhamisi aliwasahemehe wanahabari wanne wa jarida la mtandaoni Iwacu, ambao walikua wanazuiliwa jela tangu Oktoba mwaka wa 2019.
Wanahabari hao Agnes Ndirubusa , Christine Kamikazi, Egide Harerimana na Terence Mpozenzi walihukumiwa na mahakama ya mwanzo na...
Kamati ya Kuwalinda Waandishi wa Habari(CPJ) imeripoti kuwa hadi kufikia Desemba 1, 2020 waandishi 274 walifungwa, idadi hiyo ikiwa kubwa kubwa kuliko ile iliyoripotiwa 2016 ambayo ilikuwa ni 272.
China inatajwa kuwa nchi inayokamata waandishi wa habari wengi zaidi, ikifuatiwa na Uturuki. Nchi...
Yapo mambo kimfumo yanaleta ukakasi hasa namna serikali inavyoendesha mihimili mingine.
Nimeona DPP akitoka mahakamani Arusha kusikiliza hukumu ya kesi ya Ardhi ambayo kwa mujibu wa hukumu hiyo Jamhuri imeshinda.
Nje ya Mahakama DPP anawaeleza waandishi kwamba watuhumiwa walishaanza kukabidhi...
Nimefanya utafiti kuhusu namna waandishi wa habari wanavyouza weno wao kwa makundi ya watu wenye fedha na taasisi mbalimbali. Mtanisaidia kukosoa ila Hali ipo hivi kwa kifupi.
1. Kila Waandishi wahabari wanapoitwa kwenye tukio lazima uone wakisaini bahasha za kaki na waandika majina...
Kwa kweli hii ni aibu kubwa kama wasomi tunaabishwa sana. Nani mwandishi na mhariri wa gazeti hili?
To meet with stakeholder....stakeholders to reveals reasons....we are recognize national unity. Hii ni lugha gani wakuu. Naona ni lugha inayofanana na Kingereza lakini sio chenyewe
Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.
Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote...
Wabunge 19 viti maalum kupitia CHADEMA ambao waliapishwa na Spika Ndugai kisha kufutiwa uanachama na chama chao leo wanaongea na waandishi wa habari. Tayari wabunge hao wanawake wamefika ukumbi wa Regency wakiwa wamevalia sare za CHADEMA almaarufu 'Gwanda'. Kuwa nami kukujuza watachokiongea...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama
Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa.
Stay Tuned for Updates...
chadema
habari
halima mdee
kanuni
katiba
kesi
maamuzi
mahakama
mahakama kuu
mbowe
nchi
ndugai
sheria
tamko
taratibu
ubunge
viti maalumu
waandishi
watanzania
Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu.
CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika...
TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania.
=====
Dear...
Nauliza tu hii imekaaaje?
Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga?
Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti.
Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
Waandishi wa habari wa Tanzania wamekuwa vituko. Hawajui kuuliza maswali, hawajui kuhoji na wameweka ushabiki mbele kuliko Tanzania. Kumpenda Magufuli au kiongozi yeyote wa Upinzani haina maana kwamba una support kila kitu hata ubanaji wa haki na demokrasia ya wananchi. Huu uchaguzi ulivyoenda...