Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
617
1,565
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!

Simba walibweteka na yale mafanikio ya misimu 4 nyuma wakawa wanajipiga kifua kwa kuingia robo fainali mechi za kimataifa na kuishia hapo wakati huo wenzao walikuwa na mikakati thabiti ya kutengeneza kikosi Bora na management Bora vitu ambavyo vinawalipa kwa sasa, walibezwa kuwa wamecheza fainali ya kombe la looser na timu zilizokuwepo wakadai zilikuwa ni dhaifu lakini Cha ajabu kabisa timu zile zilizokuwa kombe lile la looser ndio zimetinga robo fainali ya klabu bingwa barani Africa zikiwa na mechi moja moja mkononi!

Timu hizo ni Asec mimosas, Yanga na TP mazembe, Asec kaongoza kundi lake, Tp mazembe kaongoza kundi lake na yanga anakwenda kupambana kuongoza kundi lake!
Na wale waliocheza iyo klabu bingwa kwa sasa bado awajafuzu wanapiga hesabu za TUKI na WAKI ili waone Kama watafuzu!

Kwa maana iyo kichaka cha mafanikio ya kufika robo fainali klabu bingwa na chenyewe kimefyekwa RASMI baada ya kufyeka kile Cha kombe la shirikisho Sasa tunataka tuone watajificha Tena kwenye kichaka gani

Mechi za ndani yanga katawala na mechi za nje anakwenda kuweka historia nyingine ya kibabe kwa vitendo na sio blah blah za mitandaoni!
 
Na wamepigwa hadi vita ikatokea kwenye benchi lao
Mchezaji alikaa benchi alimind ajaingia wanaoingia matura tu si unajua Waarabu hawakai na kitu moyoni akaropoka tu mpaka kocha akataka kumpiga na kopo la Juice mwanzo walikua wanamzonga Refa baadae wakaona wanapigwa bila msaada wa refa ikabidi watulie wao wakawa wanaomba dk zikimbie haraka maana walikua wanaenda Mkono wale..
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
 
Pole
 
Kubwa jinga
 
Mkuu, maelezo baada ya tukio ni utetezi. Hili ungelileta kabla ya mechi angalau kidogo lingekuwa na maana.
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Dawa za kusisimua misuli ni vidonge tu na wala hawatumii mabomba ya sindano CAF wana jukumu la kupima wachezaji wote na pia wakiwa na mashaka na mchezaji yeyote anaitwa na kwenda kupimwa kwenye maabara yao..unaona wachezaji wa Yanga wamechoka mpaka kupiga V pass wanashindwa mpaka kutolewa unazungumzia dawa inaonekana hakuna kitu unajua kuhusu mpira na pia hizi Timu hazikai na wageni tofauti Hotel moja hata iweje ndio maana wana book mapema kwa hilo utakua umedanganya kawatafute wengine sio hapa kwa watu wa Mpira..
 
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!

Simba walibweteka na yale mafanikio ya misimu 4 nyuma wakawa wanajipiga kifua kwa kuingia robo fainali mechi za kimataifa na kuishia hapo wakati huo wenzao walikuwa na mikakati thabiti ya kutengeneza kikosi Bora na management Bora vitu ambavyo vinawalipa kwa sasa, walibezwa kuwa wamecheza fainali ya kombe la looser na timu zilizokuwepo wakadai zilikuwa ni dhaifu lakini Cha ajabu kabisa timu zile zilizokuwa kombe lile la looser ndio zimetinga robo fainali ya klabu bingwa barani Africa zikiwa na mechi moja moja mkononi!

Timu hizo ni Asec mimosas, Yanga na TP mazembe, Asec kaongoza kundi lake, Tp mazembe kaongoza kundi lake na yanga anakwenda kupambana kuongoza kundi lake!
Na wale waliocheza iyo klabu bingwa kwa sasa bado awajafuzu wanapiga hesabu za TUKI na WAKI ili waone Kama watafuzu!

Kwa maana iyo kichaka cha mafanikio ya kufika robo fainali klabu bingwa na chenyewe kimefyekwa RASMI baada ya kufyeka kile Cha kombe la shirikisho Sasa tunataka tuone watajificha Tena kwenye kichaka gani

Mechi za ndani yanga katawala na mechi za nje anakwenda kuweka historia nyingine ya kibabe kwa vitendo na sio blah blah za mitandaoni!
kimefyekwa kitaalamu zaidi
 
Siku mamlaka za soka zikisimama imara kushughulika na mbinu za yanga shughuli yao itaishia hapo!

Hakuna siri kuwa yanga wanatumia dawa za kusisimua misuli zilizokatazwa michezoni! Nina ushahidi wa ilo kwa asilimia mia moja!

Nilipata uhakika wa ilo kwenye mechi moja iliyofanyika mkoani,hotel yanga waliofika nami nilifikia hapo kwenye shughuli zangu, niliona kwa macho yangu mabomba mengi ya sindano yaliyotumika yakienda kutupwa.

Katika udadisi wangu nilimuuliza mfanyakazi mmoja wa hotel hio hayo mabomba ya sindano yaliyotumika yaliyokuwa kwenye mfuko ni ya kazi gani? Akajibu kuwa amepewa na mmoja wa viongozi wa timu ya yanga akachome moto!

Nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanatumia mbinu zilizokuwa zinatumiwa na Kunguru wa Lubumbashi kwa muda mrefu,nikawaza yule CEO wao ndio master mind wa hii michezo michafu maana aliwahi kuwa kiongozi pale Lubumbashi.

Mbio za sakafuni zina mwisho huu ujanja na usamjo wa viongozi wa yanga utafika mwisho kwa aibu kubwa.
Sio majini tena!?🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom