mwenyezi mungu

 1. MINOCYCLINE

  Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

  Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
 2. LIKUD

  Hii ndio tofauti baina ya Muislamu na Mkristo wakiwa wanaomba jambo kwa Mwenyezi Mungu

  Awali ya yote let me declare my interest. I am a Muslim but an open minded one . Kwa Sababu ya kutaka kujifunza kuhusu Dini na Imani nyinginezo tofauti na uislamu , nimejikuta nikijifunza mambo mengi kuhusu Imani nyinginezo kama vile Ukristo, Uhindu, Ubudha, Freemasonry, Imani za Jadi za...
 3. Desire mobutu seseseko

  Happy birthday to Me (09 March)

  Habari yenu wana MMU Ningependa kuchukua walau nafasi hii Kumshukuru sana mwenyezi Mungu pamoja na wazazi wangu kwa siku ya leo, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Kama unalolote la kuniambia..ushauri na mambo mengine kwa wema karibu! Ahsante! Desire Mobutu sesseseko Kuku Ngweno wa zabango
 4. S

  Viongozi wa Serikali ya CCM hawapati thawabu wala Baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu

  Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea. Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu? Wanatia huruma sana...
 5. Sky Eclat

  Haya ndiyo maisha kwa kudra za Mwenyezi Mungu

 6. GENTAMYCINE

  Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

  Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
 7. GENTAMYCINE

  Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

  Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
 8. N

  Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

  Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
 9. N

  Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

  Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
 10. Gibeath-Elohimu

  Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

  Wasalamu Wana bodi natumai nyote mu wazima wa afya. Naomba kutanguliza hayo maombo hapo juu Kwa unyenyekevu kabisa mbele za MUNGU Mwenyezi Kwa taifa letu na watu wake. Maombi haya nayawasilisha mbele za MUNGU Kwa uchungu mkuu na toba,hii yote ni baada ya kufanya tathmini na kugundua kuwa...
 11. N

  Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

  Mpaka sasa mmeshafanya kazi kubwa sana! Kesi za jinai huangalia Kanuni ya "Beyond reasonable doubt" na mpaka sasa meshatengeneza "doubts" kibao na hata Mh. Jaji anajua fika. Mtafikiri Jaji hayupo na ninyi lakini ukweli ninamwona kabisa yupo na ninyi na mnafanya kazi kubwa sana. Mwisho wa siku...
 12. MINOCYCLINE

  Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

  Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
 13. N

  Mashahidi wa uwongo walitungiwa hadi Amri na Mwenyezi Mungu, lakini wanasiasa wanajitoa ufahamu

  Ninawaonea huruma sana wale Waendesha Mashataka wa Serikali! Wanastrugle sana sana kuonesha kuwa akina Mbowe walikuwa na makosa ya ugaidi. Yule shahidi wa jana aliposema tu yale maneno "Mpo chini ya ulinzi kwa sababu mnajihusisha na vitendo vya ugaidi" yakawa yametofautiana na maelezo yake...
 14. S

  Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

  Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku. Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa...
 15. kavulata

  Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

  Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy. Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya...
 16. GENTAMYCINE

  Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

  Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
 17. MINOCYCLINE

  Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

  Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
 18. S

  Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

  Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
 19. Sky Eclat

  Dhambi ya kuua humchukiza sana Mwenyezi Mungu

  Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani. Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya...
 20. COMOTANG

  #COVID19 Tuliopitiwa na wimbi la 3 Mwenyezi Mungu akatuokoa tukutane hapa

  Habari Wana JF wenzangu.Kama kichwa kinavyo jieleza. Kwa wale tuliopitiwa na wimbi la 3 na Mwenyezi Mungu akatuokoa tubadilishane mapito na Aina ya tiba tulizotumia na zika tusaidia . Binafsi nililala kitandani kwa takribani wiki 3. Hali ilianza Kama utani,baridi Kali Kisha homa Kali halafu...
Top Bottom