wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scott junior

    JamiiForums Tanzania WIVU😂

    Pichani juu ni kijana Walter Kipkoech (23)raia wa Kenya ambaye amemuua kwa kumtenganisha kichwa na kiwiliwili binti huyo Joyce Wangui(18) mwanafunzi wa kidato cha nne ambaye alikua mpenzi wake kisha kutumia damu yake kuandika ujumbe wa onyo kali Chanzo cha mauaji hayo kinatajwa kuwa wivu wa...
  2. Scott junior

    JamiiForums Tanzania MWANASHERIA, NKIKO AMUUA MPENZI WAKE CHANZO NI WIVU WA MAPENZI

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake, Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume wengine. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kupitia kwa Kamanda...
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya akili yanasababisha wivu wa mapenzi na matukio ya kikatili

    Matukio ya watu kuuana kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi , kuweni makini na watu mnaoingia nao penzini wengine wana matatizo ya afya ya akili.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uchawi, ushirikina, ulozi, wivu ,roho mbaya nk, ndio sababu ya nchi za afrika kuendelea kuwa masikini.

    Habari wa kuu, kimsingi Kuna vitu vingi vya ajabu sana nchi za Africa hasa ukijiuliza nakutafakari kwa kina, watu wazito kwa kila kitu hasa kifikra na kutambua kusudio la binadamu kuwepo kwenye uso wa dunia, Kwa upande wangu sijawai na sitokuja kuwalaumu watu wanao jazana kwa wanao jiita...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pesa, Mawasiliano na Wivu, kipi hasa kinasababisha ndoa kuvunjika?

    Wakuu Katika mihangaiko yangu, nimejikuta nimepita kwenye kijiwe nongwa kimoja. Kimekolea! Watu wamekaa wamezunguka, kila mmoja ameshikilia upande wake, na mjadala uliokuwa unaendelea ulikuwa kuhusu migogoro ya ndoa. Mmoja anasema, “Ndoa nyingi zinavunjwa na pesa. Bila pesa, mapenzi yanageuka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti 17 wa Vyama vilivyoshiriki Uchaguzi watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wenyeviti 17 walioshiriki uchaguzi mkuu 2025 waendelee kutunzwa kwa wivu mkubwa maana hao ni tunu ya Amani na utulivu nchini
  8. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha. Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?" Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama...
  9. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kagame alinda vijana wa Rwanda kwa wivu mkubwa

    Hayawi hayawi yametimia. Baada ya hotuba ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwa vijana wake akiwataadharisha juu ya athari ya pombe na hatima ya maisha yao leo naona habari yenye mvuto juu ya kupipgwa maarufu pombe kali kutoka Tanzania. Hapa Tanzania tunataka tupate maendeleo ya haraka mno, I...
  10. Vien

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi wanauonea wivu uhuru wa waliojiajiri, lakini hawajui gharama ya huo uhuru

    Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda unaotaka, unafunga muda unaotaka, hakuna boss wa kukupangia ratiba, hakuna mtu wa kukuuliza kwa nini...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

    Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?! Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
  12. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kama mabeberu wanatuonea wivu, kutupiga vita na kutochochea kwa nini tusiwe vibaraka wa magharibi tu?

    Shida iko wapi kujisalimisha na kukubali kuwa kibaraka wa Marekani kama nchi za Gulf za Saudi Arabia, Kuwait, Oman, UAE, Bahrain na Qatar pamoja na nyingine kama za Japan, Korea Kusini na Israel ili tusichochewe kupigana wenyewe kwa wenyewe na kuharibu nchi zetu? Kwa nini CCM haioni umuhimu wa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana wivu wa ajabu sana.Ukiwa ujaoa hakuna mwenye mda na wewe,Ukioa kila mwanamke analazimisha kuwa wake

    Kipindi sijaoa hakuna mwanamke mwenye kusumbuka na mimi ,kila niliyetaka kumuoa alikuwa hataki. Baada ya kuoa na maisha ya ndoa yani kila mwanamke akiona pete kidoleni au kunijua wanatengeneza mazingira washike nafasi hiyo. Walikuwa wapi siku zote.
  15. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania iko katika matishio ya amani na usalama chanzo wivu wa rasilimali zetu

    Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya...
  16. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Amani ndio msingi mkuu wa Taifa,tuilinde amani kwa wivu mkubwa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na badala yake kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa. Akizungumza Jumapili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Sir Alex Ferguson anazeeka na chuki na wivu wa ajabu hadi leo?

    Nilidhani mtu ukifanikiwa, ukastaafu na kuzeeka basi wivu na bifu za kitoto basi unawaachia vijana, lakini sio kwa huyu mzee Inaonekana ilimuuma sana Arsenal ilivyochukua ubingwa wa EPL na kufika fainali ya UEFA huku timu yake ukiwa inampa matatizo ya moto, japo imepata unafuu sasa hivi Hebu...
  18. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wivu ni darasa la mwisho kabla hujawa mchawi

    Wivu mbaya na chuki ya kupitiliza ni sumu kali ya kiroho inayomfanya mtu aanze kufikiria au kutenda mambo ya kishirikina na kijicho. Huu usemi usemao "Wivu ni darasa la mwisho kabla ya kufuzu kuwa mchawi" una ukweli mkubwa kiroho. Kimaandiko na kiimani, wivu si tu hisia mbaya ya kibinadamu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bodaboda auwawa na mwili wake kutupwa porini huko mkoani Morogoro

    Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo...
Back
Top Bottom