walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli Maandamano yanaruhusiwa...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Raia wa China auawa na Walinzi wa Kampuni yake na kuondoka na Tsh Milioni 10

    Mtu mmoja raia wa China aliyefahamika kwa jina la Baozhang Ge, Mkurugenzi wa kiwanda cha Xin Li Company Ltd kinachojihusisha na Urejeshaji wa Makopo, kilichopo Mabibo jijini Dar es Salaam amekutwa ameuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni walinzi wa Kampuni hiyo Morani wa Kimasai, kisha kutomekea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu chafunga tena Mlango-Bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. 🚨KUVUNJIKA Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Chafunga Mlango-Bahari wa Hormuz Msemaji wa Makao Makuu ya "Khatam al-Anbiya": ◽️Kulingana na makubaliano ya awali katika mazungumzo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa nia njema, ilikubali kuruhusu idadi ndogo ya meli za mafuta...
  5. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Malango ya Mafanikio (Gatekeepers): Kwa nini Cheti cha Shule kisikufanye ujione mnyonge

    Katika safari ya maisha, kuna vitu tunaita "Gatekeepers" au walinzi wa malango. Hawa ni pamoja na Cheti cha Kuzaliwa, NIDA, na Vyeti vya Elimu. Wengi wetu tukikosa hicho cha mwisho (Cheti cha Elimu), tunaanza kukata tamaa na kujiona hatuna thamani ("Self-esteem" inashuka). Lakini ukweli ni upi...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania "Makomandoo" watwangana makonde na Walinzi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kabla ya TRA Vs Simba, Aprili 9, 2026

    Wakati msafara wa timu ya Simba SC ukiingia uwanjani majira ya Saa 8:30 Mchana wa leo Aprili 9, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hali ya sintofahamu kati ya wanaodhaniwa kuwa ni “Makomandoo” na walinzi wa uwanja, hali ambayo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UDOM: Madai ya Walinzi wa geti la kuingia chuo kuchukua fedha kwa Bajaj na Bodaboda yanafanyiwa uchunguzi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Maafisa Usalama wanaosimama katika geti la kuingia Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuwasumbua wanaopita hapo hasa Boidaboda na baadhi kuwataka watoe fedha taslim, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo hicho. Mdau alihoji uhalali wa fedha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walinzi wa getini Msamvu Bus Terminal wanalazimisha kulipa Sh 300 hata kama una tiketi ya mtandaoni

    Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia ofisini kuna tofauti gani? Ukionesha SMS ya malipo hawataki, wanataka risiti ya tiketi ya EFD...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hivi hawa Delta force waliwafanya nini walinzi wa Maduro maana wanarudishwa kwao Cuba kwenye vibox vidogo vidogo🤔

  12. R

    JamiiForums Tanzania Bashiru afanya ziara ya kushtukiza mnada wa Igunga akuta walinzi hawalipwi

    Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump akielezea kwa kina namna alivyokabiliana na walinzi waki-cuba waliokuwa wanamlinda Maduro ikulu

    MCHEKE BASI KIDOGO NA NYIE.. 🤣🤣
  14. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kuna muda nikiwatafakari Walinzi wa karibu wa baadhi ya Marais, huwa nawakosea majibu

    Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana. Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha tano cha walinzi wa amani kutoka Tanzania kuendeleza operesheni DRC

    Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya. Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama wao Chadema kinyume kabisa na Katiba na wakawalipa mamilioni ya fedha ya kodi za Wananchi...
  17. Chui mnyama

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: Abwabwaja kuishambulia Israel bila kusita!

    Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: "Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu." “Mytake” Ikiwa kweli walirusha makombora 2,000 na UAV, ambayo ni karibu 1% tu iliyotua katika eneo la Israeli. Basi...
  19. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

    Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na...
Back
Top Bottom