Msuluhishi wa kesi ya waliokuwa wafanyakazi wa TBL atoa maamuzi yenye utata

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,004
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake.

Waliibua utata wa mkataba wa mfuko huo wakidai wadhamini waliweka masharti ya kuhalalisha ubadhirifu walioufanya wakiwatuhumu wadaiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh83 bilioni ziliokuwemo katika mfuko huo.

Jaji FAUZ Twaib katika maamuzi yake amesema wanaostahili kulipwa ni wale tu waliokuwapo kati ya tarehe 24 Novemba 2011 na Desemba 2017.

Lakini mfuko huu ulianza mwaka 1998, sijui ni sababu zipi zilizopelekea maamuzi hayo. Ruling yenyewe hii hapa
 
Attachments

  • TBL FINAL AWARD (15 Sept 2023).pdf
    395.9 KB · Views: 14
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake. Waliibua utata wa mkataba wa mfuko huo wakidai wadhamini waliweka masharti ya kuhalalisha ubadhirifu walioufanya wakiwatuhumu wadaiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh83 bilioni ziliokuwemo katika mfuko huo.

Jaji FAUZ Twaib katika maamuzi yake amesema wanaostahili kulipwa ni wale tu waliokuwapo kati ya tarehe 24 Novemba 2011 na Desemba 2017.

Lakini mfuko huu ulianza mwaka 1998, sijui ni sababu zipi zilizopelekea maamuzi hayo. Ruling yenyewe hii hapa
Kosa kubwa lilifanyika kuipeleka kwa Aribitrator kesi kama hii. Hii ilikuwa ni kesi ya Kuamuriwa na Mahakama Kuu pekee kwa sababu facts ziko wazi. Naziona dalili zote za rushwa kuwa zilitumika kutoka kwa mjibu maombi (TBL) kwenye kesi ya awali Namba 68/ 2018 ambapo waliweza kushawishi kesi hii kutoka Mahakamani na kwenda kwa Arbitrator. Kwenye ngazi ya Arbitration ni rahisi mno kum corrupt Arbitrator.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa TBL kati ya 1998- 2011 (including warithi wa wale ambao walikwishafariki) wana haki zote za kupata stahiki zao kwenye hiyo TZS 83 Bilioni iliyokusanywa kipindi Arnold Kileo ni MD wa TBL na hadi SABMiller anauza kampuni kwa inBev.. Arbitrator ametepeta au amepepesa macho kwa kutotambua haki hii, na kwa uzoefu wangu hajatepeta kwa sababu ya kutojuwa misingi ya haki bali kuna shinikizo amelipata mpaka likapelekea maamuz haya.

Endeleeni kupigania haki yenu mpaka mipate
 
Mkuu tueleweshe vizuri maana tumesoma hukumu tu, maana Arbitrator anasema hisa zenye mvutano ni zile zilizopatikana 2011, Sasa hao wa 1998 wanahusika vipi na manunuzi ya hisa za 2011? Means kama walifanya kazi kabla ya hapo na walipotaka kuacha kazi si obvious waliuza hisa zao ndani ya trust? Au Kuna kipi hatukijui.
 
Kwa maoni yangu: Maana yake ni kwamba, toka mwaka mwaka 1998 hadi 2011- wengi wao wametangulia mbele ya hali. sasa sijui ni kwa nini next if kin nao wasifaidike na matunda ya kazi za ndugu zao?
Wakitangulia mbele ya haki kwani hawana warithi wao?
Akili nyingine hazitumiii akili kabisa!
 
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake. Waliibua utata wa mkataba wa mfuko huo wakidai wadhamini waliweka masharti ya kuhalalisha ubadhirifu walioufanya wakiwatuhumu wadaiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh83 bilioni ziliokuwemo katika mfuko huo.

Jaji FAUZ Twaib katika maamuzi yake amesema wanaostahili kulipwa ni wale tu waliokuwapo kati ya tarehe 24 Novemba 2011 na Desemba 2017.

Lakini mfuko huu ulianza mwaka 1998, sijui ni sababu zipi zilizopelekea maamuzi hayo. Ruling yenyewe hii hapa
Rudia kusoma hukumu vizuri utabaini.
 
Hapana Jaji huyu amekaa vizuri tena ni mwalimu mzuri wa sheria; bila shaka ana sababu ya kuamua hivyo. Ninanavyo mfahamu ni mpenda haki hawezi kujidhalilisha mbele ya umma. Sijasoma hukumu yake nitaisoma baadaye. Huu ni ushuhuda wangu nisamehe kama nakuudhi.
hakuna sehemu umeniudhi bali umenielewesha

Aminia
 
Rudia kusoma hukumu vizuri utabaini.
Toka huo mfuko uanzishwe mwaka 1998 hakuna mfanyakazi amewahi kulipwa hadi 2017 walipoamua kuwalipa wasiostahili.

Hilo ndilo kosa lililopelekea TBL kuomba kwenda kwenye usuluhishi. Yasemekana zile fedha ziligawiwa kwa wafanyakazi walio kazini bila kujali wamechangia kiasi gani. Fedha imegawiwa vibaya hadi imekwisha na ndiyo kisa wanababaika
 
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake. Waliibua utata wa mkataba wa mfuko huo wakidai wadhamini waliweka masharti ya kuhalalisha ubadhirifu walioufanya wakiwatuhumu wadaiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh83 bilioni ziliokuwemo katika mfuko huo.

Jaji FAUZ Twaib katika maamuzi yake amesema wanaostahili kulipwa ni wale tu waliokuwapo kati ya tarehe 24 Novemba 2011 na Desemba 2017.

Lakini mfuko huu ulianza mwaka 1998, sijui ni sababu zipi zilizopelekea maamuzi hayo. Ruling yenyewe hii hapa
Rudia kusoma hukumu, iwapo kesi imeanza kusikilizwa zaidi ya miaka 5 iliyopita na ilianzia mahakama kuu ikaamuriwa lipelekwe kwa Arbitrator (Msuluhishi) aliyependekezwa na kukubaliwa na kila kundi lenye kulalamika na kwamba lilete ushahidi wakiwakilishwa na mawakili nguli. Kwa sasa hicho ni kilio cha kutapatapa kwenye social media ili kupata huruma ya wanajamii na yamkini wengi wao wasio na ufahamu wa mambo ya sheria. Hukumu haina rufaa hiyo ndio imeenda.
 
Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake. Waliibua utata wa mkataba wa mfuko huo wakidai wadhamini waliweka masharti ya kuhalalisha ubadhirifu walioufanya wakiwatuhumu wadaiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya Sh83 bilioni ziliokuwemo katika mfuko huo.

Jaji FAUZ Twaib katika maamuzi yake amesema wanaostahili kulipwa ni wale tu waliokuwapo kati ya tarehe 24 Novemba 2011 na Desemba 2017.

Lakini mfuko huu ulianza mwaka 1998, sijui ni sababu zipi zilizopelekea maamuzi hayo. Ruling yenyewe hii hapa

Inawezekana utata kauona hapo, kama yeye ndo aliwekwa msuluhishi ina maama ndo itabaki hivyo hivyo.
 
Jaji amehukumu kulingana na mahitaji ya mashitaka.

Washitaki ambao ni wafanyakazi wa zamani wa TBl walifungua kesi baada ya uongozi wa TBl kuwalipa wafanyakazi wake waliokuwa kazini pesa iliyotokana na mauzo ya hisa zilizokuwa zinamilikiwa na mfuko wa wafanyakazi.

Utaratibu ulikuwa pesa hiyo ilipwe kwa wafanyakazi waliopo kazini kwa awamu mbili.

Baada ya malipo ya awamu ya kwanza kukamilika, wafanyakazi wa zamani wa TBl walikwenda mahakamani na kuweka zuio badae wakafungua kesi mahakama kuu, kisha wakaenda mahamakama ya usuruhishi.

Moja ya madai Yao ni na wao wajumuishwe katika mgao wa pesa iliyobaki.
Kwa za kipindi Cha zaidi ya miaka mitano kesi ikasikilizwa.
Hukumu imetoka tar 15 mwezi wa tisa.

Jaji ametoa hukumu kwa hoja Moja tu kubwa, kwamba kwa kuwa pesa inayogombaniwa ilitokana na hisa zilizonununuliwa tarehe 24 mwezi 11 mwaka 2011, na mfuko ulifungwa rasimi mwaka 2017 .
Basi wanufaika ni wale waliokuwa kazini katika kipindi hicho.
Na yeyote ambae hakuwa kazini katika kipindi hicho basi hausiki.
Ikubukwe pia mfuko huo wa wafanyakazi ulifunguliwa rasimi mwaka 1998 na kuwekewa hisa ambazo ziligawiwa kwa baadhi ya walio kuwa wafanyakazi ( wengi wa vyeo vya juu)
Baada ya kugawiwa hisa hizo zilikwisha na ndipo zikanunuliwa hisa hizi za mwaka 2011.
Mwisho wa kunukuu.
 
Sasa unadhani kama wangekuwa wamelipwa kweli watu zaidi ya 1,000 wangekuwa wendawazimu kwenda Mahakamani kudai wasichostahili?
 
Back
Top Bottom